Rubber plantation and cars how about that for starters.Instead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.
Rubber plantation and cars how about that for starters.Instead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.
Labda unavipengele vya kufungua mkataba midway.ila hili deal la miaka 10 kwa TPL limenistua kidogo mbona muda mrefu namna hiyo? kwanini wasifanye angalau miaka mitano?
Umeenda mbali mbona usimuulize kuwa Kenya inategemea kilimo kwa kiasi gani na idadi ya watu wanaotegemea kilimo ni ngapi?Fabrication sector inaajiri kiasi gani?
Go argue with your government.If our tourism calendar starts in November mbona huja include data from November and December 2020? Ambazo zingeanza from November 2020 to October 2021 a full year.
Public buses in Tz are from Kenya.Fabrication sector inaajiri kiasi gani?
Noma, yajayo yanafurahisha.Ukitaka kujua sio kwamba tu tunafanya noma hapa EAST AFRICA Bali tutawatawala soon hawa jamaa pitia hapa. Kwala industrial Park, 200 industries will be built kazi umeshaanza
. Ukiachana na mradi wa GAS wa $30 billion na ule mradi wa bomba la mafuta la hoima .. Cc Tony254 kwisha habari yenu
Noma sana mzee




Safi sana aisee mnatutengenezea bus kali alafu mnaziingiza kwenye meli inayotoka ulaya mnazileta Tz wakati huo huo nyie mnatumia buses za 60s. Hizo hapo juu ni buses za Tz kutoka Kenya zilizoletwa kwa meli ya kutokea Ulaya alafu hizo za chini ndiyo buses wanazotumia Wakunya ambazo ni malori yaliyogeuzwa kuwa mabasi, wanaupendo sn hawa mbwaPublic buses in Tz are from Kenya.













Hiyo $1.46B ya Kunyaland umeitoa wapi?Thanks for this screenshot. Now we can close the discussion by saying that Kenya received $1.46B from Tourism while Tz received $1.28B from Tourism.
View attachment 2258239
propaganda zenu zilishajulikana na tunazifanyia kazi ipasavyo 🤣🤣🤣
Uko denial stage
Tanzania public buses are assembled in Kenya.Safi sana aisee mnatutengenezea bus kali alafu mnaziingiza kwenye meli inayotoka ulaya mnazileta Tz wakati huo huo nyie mnatumia buses za 60s. Hizo hapo juu ni buses za Tz kutoka Kenya zilizoletwa kwa meli ya kutokea Ulaya alafu hizo za chini ndiyo buses wanazotumia Wakunya ambazo ni malori yaliyogeuzwa kuwa mabasi, wanaupendo sn hawa mbwaView attachment 2258291View attachment 2258293
That pond is 40metres high and 1km long.Hiyo 'pondi' unayoidharau itawezesha irrigation ya 70,000 acres of rice throughout the year
Hilo haliwahusu, mbona nyie mlivyowafukuza watu kule MAU FOREST hakuna aliye wauliza!!?
Acha upumbavu!Ardhi ya Tanzania ni ya Watanzania!!!Hamna nafasi ya ku-decide juu ya hili!Mmeshindwana na familia mtawezana na nchi?!!!.Ni mchanganyiko. Kuna Wakenya wengi wanakuja TZ kununua bidhaa na kuzileta Kenya. Na pia kuna Watanzania wengi wanatoa bidhaa TZ na kuzileta Kenya.