Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakubali,Ni afadhali tuwauzie izo cheap products until tutakapokua na uwezo wa kuziprocess kua more valuable products, kwa sasa cha muhimu tufanye biashara...

And hey,jitahidini muwekeze shambani,mnakula sana mahindi ambayo hamuyalimi,uchumi wenu bado bro, nchi ilioendelea lazima kwanza watakua wakulima hodari ndio wawekeze viwanda,kuna steps mmeruka na ni ya muhimu...

Ndio maana hadi leo Africa tunahangaika na vita ya Russia vs Ukraine kumbe ni ngano hatulimi ya kutosha,mashamba tunayo tuko apa kujimwambafai na vitu baseless
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
 
Hii issue ya loliondo kiukweli sio nzuri ila ina ufadhali mkubwa sana maana jamaa wamepewa sehemu nyingine za makazi,na hata humu watu wamereact kwa kila aonavyo yeye,kidini,kikabila na mbali zaidi hata kenya nayo eti imereact,mimi naamini wanayopitia hawa wa loliondo haijafikia ile ya ubungo pale tanesco,watu walivunjiwa na hawakupewa hata sumni,kuna jamaa pale walikua na eneo ndani yake kuna nyumba 6,zote zilivunjwa na hawakupata pesa,mzee wao alikufa kwa stress,mbezi mwisho kupisha barabara ya njia 8 watu wamelizwa,architec beda amur aliyechora ramani ya soko la kariakoo nyumba yake alikua na nyumba pale stendi ya magufuli,ilivunjwa na akupewa hata sent pa1 na heshima yake yote,yule mzee alikufa kwa stress,twende mbele na kurudi nyuma hamna aliye mkamilifu tena hasa kwa hawa wanasiasa wetu

Kabla hatujaenda mbali kwani sheria inasemaje mkuu kuhusu kujenga kwenye hifadhi za barabara na maeneo ambayo hayajapimwa mijini
 
Hadi Sasa Tanzania ndio the biggest source of Uganda imports, sababu kubwa ni Kenya kuendekeza "hostilities" na Uganda, mkiendeleza huu ujinga wenu, Uganda itaamua kuachana na ninyi katika Mambo mengi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Acha uongo, most of Ugandan imports come from Kenya. Kenya exported $722M to Uganda.
 
Hadi Sasa Tanzania ndio the biggest source of Uganda imports, sababu kubwa ni Kenya kuendekeza "hostilities" na Uganda, mkiendeleza huu ujinga wenu, Uganda itaamua kuachana na ninyi katika Mambo mengi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hawa hawajitambui tuu yani wanamwekea Uganda vikwazo wakati ndo mteja wao mkubwa , acha wagombane tutafaidika sisi
 
20220612_112814.jpg
 
Watanzania bana kwahyo wanadhani hiyo hela inawekwa kwenye acc za serikali ipangiwe matumizi? Ni pesa ya mradi kama mradi ambao utatoa ajira kwa watakaobahatika,kununua vifaa vya ujenzi na kununua material yote hadi uzalishaji utakapoanza ndio effect kubwa itaonekana,na nimeona wanasema kama utaanza 2025 utashughulikiwa kwa miaka 5 ndio ukamilike so ni mchongo wa miaka mingi sana hadi uzae matunda, Sitashangaa kuona ukidelay kama watakua na terms ambazo hazieleweki...

Kazi ni kwa wizara yafaa wasome between lines usikute uko badae tukajuta tena
 
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
Hizo nchi zote ziko hapo zilipo leo because of agriculture remember agricultural revolution au hujui history wewe kilaza. Na bado agriculture ina command noticeable share in their GDPs todate.
 
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
USA wako vizuri sana kwenye kilimo na mifugo sambamba na uchina,kilimo ni muhimu uhakika wa chakula sio jambo linalohitaji majadiliano hapa,fanyieni kazi icho kipengele...

1.United states the finance,insurance, and real estates industry contributes roughly $4.7T to US GDP

2.CHINA,Manufacturing makes up roughly 25% of china gdp
 
Endelea na ujuaji.
Chuki zako na awamu ya sita imekupofua umekuwa mtu wa ovyo.
Kitu unachotakiwa kujua ni kuwa kila zama na kitabu chake...haiwezi tokea kamwe awamu fulani iongoze kama awamu fulani.
Hii awamu ya 6 hakuna watakao ipenda muda utasema swala la wanyonge tz kutendewa dhuluma na viongozi lipo siku nyingi na mm nalipinga hao wamasai siyo mafisadi wala awajafanya kosa lolote ni uhuni wa ccm inayo milikiwa na waarabu
 
Hizo nchi zote ziko hapo zilipo leo because of agriculture remember agriculture revolution au hujui history wewe kilaza. Na bado agriculture ina command noticeable share in their GDPs todate.
We are in the generation of industrialization and not Agrarian anymore. Most countries like China is converting their farmlands into cities and industries. Again in US, ratio of agriculture to GDP is only 5%.
 
Watanzania bana kwahyo wanadhani hiyo hela inawekwa kwenye acc za serikali ipangiwe matumizi? Ni pesa ya mradi kama mradi ambao utatoa ajira kwa watakaobahatika,kununua vifaa vya ujenzi na kununua material yote hadi uzalishaji utakapoanza ndio effect kubwa itaonekana,na nimeona wanasema kama utaanza 2025 utashughulikiwa kwa miaka 5 ndio ukamilike so ni mchongo wa miaka mingi sana hadi uzae matunda, Sitashangaa kuona ukidelay kama watakua na terms ambazo hazieleweki...

Kazi ni kwa wizara yafaa wasome between lines usikute uko badae tukajuta tena
Hela itakayoingia kwenye mzunguko ni only 10% equivalent to 7tn. The rest ni hela ya malipo ya mkandarasi na equipment.
 
Back
Top Bottom