Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mzee wangu hata tufanye hizo machines ni automatic, basi zizalishe juice zenyewe bila kuwepo kwa machungwa au raw products zinawezatengeneza juice. does automative industry mean raw products .?
Wanafikiri wana akili ya kuzalisha electronics
 
Kwahiyo year ending inamaanidha 10 months data? Iko year ending kila mwezi depending on cross-section ya time unayotaka kuripoti but they all have 12 full months not 10 months.
Mapato halisi ya Utalii haya hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-132113.png
    Screenshot_20220603-132113.png
    138.4 KB · Views: 10
Does automative industry mean raw products.? Bila hujakuwa na raw products hizo machines utafanyanazo nini we jamaa.? Kupitia machuma tu unaweza pata unga wa ugali bila ya kuwa na mahindi.? Yani unga wa ugali utoke kwenye machuma tu 😂😂😂 Heb acha ukichaa we jamaa
Wanategemea kuendesha GDP kwa kufabricate imported cargo fuso kuwa passengers bus 😂😂😂😂

Akili ya mkunya typically
 
Badala ya wanaojiita wanaharakati kutoka Kunyaland kuhangaika na Ngorongoro wangeandamana kusaidia njaa inayoua watu wao huko zaidi ya 4,000,000,000👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220611-214116.png
    Screenshot_20220611-214116.png
    118.4 KB · Views: 11
We jamaa kumbe huwa huna akili .. "industries and agriculture ar the economic interdependent sectors" kama hujaendelea kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda ..
Hawa hawajui forward and backward linkages kwenye sectors za uchumi. They think things float out of blue.
 
Niwakumbushe tu wale wanaozuia LPG kutoka Tanzania kwenda Kunyaland! Tanzania kuna makampuni yana meli za kusafirisha gesi toka Uarabuni!



CC: Tony254
 
Ukitaka kujua sio kwamba tu tunafanya noma hapa EAST AFRICA Bali tutawatawala soon hawa jamaa pitia hapa 👇 . Kwala industrial Park, 200 industries will be built kazi umeshaanza👇 . Ukiachana na mradi wa GAS wa $30 billion na ule mradi wa bomba la mafuta la hoima .. Cc Tony254 kwisha habari yenu
 
Wewe umetoa wapi 10 months? Nimekuambia year ending October 2021 ni Nov 2020-Oct 2021 sasa hio ni 10 months vipi? Huoni hio ni 12 months? Mbona umechanganyikiwa sana?
Sorry was looking at the data on arrivals as per what was shared here.
 
Back
Top Bottom