Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We are in the generation of industrialization and not Agrarian anymore. Most countries like China is converting their farmlands into cities and industries. Again in US, ratio of agriculture to GDP is only 5%.
Lakini bado mnapokea msaada wa chakula kutoka hizo developed countries.
 
Halafu Uganda wamengoja 2 years saa hii ndio wameamua kuban bidhaa za Kenya kwa sababu ni wakati wa elections. Wanadhani Kenya haitafanya lolote, watashangaa sana.
Sio kwasababu ya election sababu wamesha consider other option na wamejiidhisha. Wacheni mchezo wa kujipiga kifua mkujua fika kuna option nyingine
 
Ndio unatakiwa uongee hivyo sio porojo huoni sasa mjadala unakuwa mzuri.

Embu angalia hizo data za Tanzania ni from January to October 2021 na sio za mwaka mzima.
Wewe unajua maana ya neno "year ending?". Hio ni terminology ya uhasibu na tunaitumia sana kwenye heading ya balance sheets. Nikisema year ending October 2021 namaanisha November 2020-October 2021.

Cc Teargas.
 
Kwahiyo year ending inamaanidha 10 months data? Iko year ending kila mwezi depending on cross-section ya time unayotaka kuripoti but they all have 12 full months not 10 months.
 
Wewe unajua maana ya neno "year ending?". Hio ni terminology ya uhasibu na tunaitumia sana kwenye heading ya balance sheets. Nikisema year ending October 2021 namaanisha November 2020-October 2021.

Cc Teargas.
Sasa hapo data ni za January to October hiyo nayo ni year ending embu nijibu kisomi tafadhali kabla sijaanza kudharau degree yako.
 
MAU forest eviction was it election violence, therefore in Kenya policemen are free to kill while dealing with peaceful demonstrations?, don't you know that majority of those who were killed are women and children who were playing around their homes?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Okay then go clap for your country as it continues wateva that it was doing support it fully
 
Ngoja niwatetee kama 'mkunya' kwa lame excuse😅..
'Sisi msimu ujao timu zetu hazishiriki mashindano ya CAF sababu ya kenya kupigwa ban na FIFA na CAF, so hio prize yetu ni sawa na za timu zenu ambazo hazishiriki CAF competition next season.. top 4 yenu inapewa hela ndefu ili kuwapa nguvu kwenye CAF competition msimu ujao'
 
Ngoja niwatetee kama 'mkunya' kwa lame excuse..
'Sisi msimu ujao timu zetu hazishiriki mashindano ya CAF sababu ya kenya kupigwa ban na FIFA na CAF, so hio prize yetu ni sawa na za timu zenu ambazo hazishiriki CAF competition next season.. top 4 yenu inapewa hela ndefu ili kuwapa nguvu kwenye CAF competition msimu ujao'

Sometimes inakuanga unpaid pia.

Hii most discipline team kwa records zilizopo za Red cards na yellow cards nadhan top 3 ni Tanzania prisons, Simba na Yanga..
Yanga au Simba anaweza kuwa mshindi
20220612_131631.jpg
20220612_131514.jpg
20220612_131526.jpg
 
Ndio unatakiwa uongee hivyo sio porojo huoni sasa mjadala unakuwa mzuri.

Embu angalia hizo data za Tanzania ni from January to October 2021 na sio za mwaka mzima.
Your tourism calenders year ends in October and starts in November. So this is a figure for the whole year.

Screenshot_20220415-131035.png
 
We are in the generation of industrialization and not Agrarian anymore. Most countries like China is converting their farmlands into cities and industries. Again in US, ratio of agriculture to GDP is only 5%.
We jamaa kumbe huwa huna akili .. "industries and agriculture ar the economic interdependent sectors" kama hujaendelea kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda ..
 
Wewe unajua maana ya neno "year ending?". Hio ni terminology ya uhasibu na tunaitumia sana kwenye heading ya balance sheets. Nikisema year ending October 2021 namaanisha November 2020-October 2021.

Cc Teargas.
Most of these Tanzanians are not knowledgeable.
 
We jamaa kumbe huwa huna akili .. "industries and agriculture ar the economic interdependent sectors" kama hujaendelea kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda ..
How does automotive industry and agriculture relate? Please take your dumpness somewhere else.
 
Back
Top Bottom