Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo year ending inamaanidha 10 months data? Iko year ending kila mwezi depending on cross-section ya time unayotaka kuripoti but they all have 12 full months not 10 months.
Wewe umetoa wapi 10 months? Nimekuambia year ending October 2021 ni Nov 2020-Oct 2021 sasa hio ni 10 months vipi? Huoni hio ni 12 months? Mbona umechanganyikiwa sana?
 
How does automotive industry and agriculture relate? Please take your dumpness somewhere else.
Sijui utazungumza maneno gani kwenye ili nione unaakili kwenye hili.. bila kilimo hakuna viwanda, kama huna maendeleo kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda.. heb pitia pitia hata history za mataifa yaliyoendelea ili upate kujua walifanyaje mpaka kufikia industrial revolution
 
Sasa hapo data ni za January to October hiyo nayo ni year ending embu nijibu kisomi tafadhali kabla sijaanza kudharau degree yako.
Wewe unifunze maana ya neno year ending na hio ni terminology ninayotumia kila wakati kazini? Wacha ujinga. Balance sheet ukiitengeneza ni sharti utumie neno year ending kwenye heading kisha uweke mwezi na mwaka husika. Hio ni kulingana na IAS 1.
 
Wewe umetoa wapi 10 months? Nimekuambia year ending October 2021 ni Nov 2020-Oct 2021 sasa hio ni 10 months vipi? Huoni hio ni 12 months? Mbona umechanganyikiwa sana?
Mwambie their financial year ends on May of every year.
 
How does automotive industry and agriculture relate? Please take your dumpness somewhere else.
Sasa mzee wangu hata tufanye hizo machines ni automatic, basi zizalishe juice zenyewe bila kuwepo kwa machungwa au raw products zinawezatengeneza juice. does automative industry mean raw products .?
 
Sijui utazungumza maneno gani kwenye ili nione unaakili kwenye hili.. bila kilimo hakuna viwanda, kama huna maendeleo kwenye kilimo sahau kuhusu kuendelea kwenye viwanda.. heb pitia pitia hata history za mataifa yaliyoendelea ili upate kujua walifanyaje mpaka kufikia industrial revolution
Instead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.
 
Sasa mzee wangu hata tufanye hizo machines ni automatic, basi zizalishe juice zenyewe bila kuwepo kwa machungwa au raw products zinawezatengeneza juice. does automative industry mean raw products .?
I'm talking about vehicles. Automotive industry is an industry dealing specifically with vehicles.
 
Instead of wring long composition and bible verses you could have just answered me how agriculture and automative industries relate.
Does automative industry mean raw products.? Bila hujakuwa na raw products hizo machines utafanyanazo nini we jamaa.? Kupitia machuma tu unaweza pata unga wa ugali bila ya kuwa na mahindi.? Yani unga wa ugali utoke kwenye machuma tu 😂😂😂 Heb acha ukichaa we jamaa
 
Malaika anajulikana ila utashambuliwa humu ndani! Unafikiri leo angekuwepo hai hawa watu wa Ngorongoro na Loliondo wangepewa fidia na ardhi mbadala?
Samia anaua wa Bara na kuwaibia pesa na kuhamishia zanzibar, huyu mama ni shetani kabisa

Kauza Ngorongoro pesa kapeleka jambiani, Wamaasai ndio wanaingia gharama!
 
Does automative industry mean raw products.? Bila hujakuwa na raw products hizo machines utafanyanazo nini we jamaa.? Kupitia machuma tu unaweza pata unga wa ugali bila ya kuwa na mahindi.? Yani unga wa ugali utoke kwenye machuma tu 😂😂😂 Heb acha ukichaa we jamaa
Wewe ni kama hujui maana ya automotive industry. Go and read about it ndio urudi tujadiliane.
 
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.

I'm talking about vehicles. Automotive industry is an industry dealing specifically with vehicles.
😂😂 Kwamba.? We jamaa ni kichwa mchunga wewe, "Automative industry is an industry dealing specifically with vehicles" 😂😂😂 au umechanganyikiwa na neno "automative"
 
Is like I'm wasting my time with you.

Screenshot_20220612-135509.png
 
Mwambie their financial year ends on May of every year.
Inategemea na institution husika. But you are right, financial year for East African governments Kenya, Uganda na Tanzania ni 1st June-31st May of the following year. Financial year ya South African government ni 1st March-29th February of the following year. Financial year ya Safaricom ni 1st April-31st March of the following year.

Cc coodip1
 
All developed nations doesn't depend on agriculture. Tell me the Agriculture to GDP ratio of USA or China then I'll show you something.
Kwahyo hii ☝️ discussion umeihamishia huku👇😂😂😂
Is like I'm wasting my time with you.

View attachment 2258205
Saivi disc umeileta kwenye automative industry, sio mchango wa kilimo tena kwenye industrial development.? 😂😂
 
Back
Top Bottom