Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Huyu ni mjinga wa mwisho. Hawa sio majeruhi? ama maasai hawaenda hospitali sababu wana dawa za miti asili?![]()
![]()
Tupatie habari kamili, wacha kuficha some parts.
![]()
Huyu ni mjinga wa mwisho. Hawa sio majeruhi? ama maasai hawaenda hospitali sababu wana dawa za miti asili?![]()
![]()
Tupatie habari kamili, wacha kuficha some parts.
![]()
Wewe source yako ni gani?Source yako twitter![]()
Mm ni mtu wa kaskazini na wala sihusiani na usukuma, lakini kwanini unalipeleka ili swala mbali ? Na ili iwaje? Uyo mtu hayupo unaongea ongea kama alichukua mkeo?Kwani Wewe nI sukumagang?
Huwaoni Sukumagang wanavyoeneza chuki dhidi ya mama? Sasa tatizo nini namimi nikionyesha mabaya ya Mungu wao marehemu?Mm ni mtu wa kaskazini na wala sihusiani na usukuma, lakini kwanini unalipeleka ili swala mbali ? Na ili iwaje? Uyo mtu hayupo unaongea ongea kama alichukua mkeo?
Sita acha kuwambia wote mnao onyesha chuki uchwara waziwazi, kuwa ni kweli yeye kama binadam mwingine alikuwa na mapungufu yake lakini pia alifanya vitu vitakavyo pelekea taifa hili liwe na ukwasi endelevu .
Ivi unajua kwenye huu uzi wachangiajia hawafiki hata 100? Chakushangaza umegombana nao almost wote kwa asira uchwara zako na hauna power. Je ungekuwa magu ww sindio kila anae kupinga ungepiga shaba?
Kampeni dhidi ya EACOP ni Mkunya anaendesha saahii mgogoro wa Loliondo ni NGOs za Kunyaland yet watu wanne wameuwawa na Kenya wildlife Kajiado sababu ya protest!
Huyo spika mafiii atawatisha wachumia tumbo narudia kusema upo uwezekano mkubwa samia atakuwa rais wa kwanza tz kwenda jela shikeni sana haya maneno yanguTanzania wanatishiwa hadi na Spika wa bunge.![]()
![]()
Badala asaidie kutatua shida kisheria, she is issuing threats.
Ccm ni maviii kabisa chifu yupo ikulu kujaza vyoo tuCCM ni wanyama aisee. View attachment 2257249
MAU forest eviction was it election violence, therefore in Kenya policemen are free to kill while dealing with peaceful demonstrations?, don't you know that majority of those who were killed are women and children who were playing around their homes?This is a very lame excuse how can you compare election violence to brutally beating peaceful Maasai settlers from their land?? In the election violence the crowd is violent too but what have the Maasai done to deserve that for the goverment to pocket a few dollars nkt! Shaaaame if you are a patriotic Tanzanian when the government does wrong you point out not just support inhumane behaviours
Ndio