Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawaida reasoning yako ipo chini Sana, Sasa ukitumia jina Kama Tony, Kuna Tony wangapi huko Kenya?, Kwanza Kuna uhakika gani kwamba kweli jina lake ni Tony?. Ninyi siku zote ni watu wenye uwezo mdogo Sana wa kufikiria mambo, matokeo yake ni uzushi na kuandika upumbavu hapa JF

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
sisi wakenya wote humu ni watu ajabu sana.. tofauti na nyinyi wadanganyika, roho zetu ii wazi kabisa.. hatujui kuficha lolote.! tunafichua either iwe mbaya ama mzuri.. yani tunajikubali jinsi tulivyo..

hivi Tony amesha reveal jina lake hapa live kabisa, na bado utabisha eti pengine 'Tony' huenda ikawa sio jina lake halisi.!! 😆😆

Screenshot_20220611-133851_Gallery.jpg
Screenshot_20220611-133942_Gallery.jpg
 
Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.

Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani
 
Unajua mama Samia ni mzanzibari. Watu wanaotaka ngorongoro ni waarabu kwa hiyo anaskizana nao vizuri sana. Hajali kuhusu wamaasai borake waarabu wenzake wapate wanachotaka.
Screenshot_20220610-185904.jpg
 
Wanaosema ukweli wamekuwa wapotoshaji. Jinsi walivyopotosha kuhusu kifo cha Magu sivyo?🤣
Tii sheria bila shuruti..

Kwani Hawa sio Watanzania wanaopisha mgodi wa dhahabu? Kwamba Masai ndio Wana haki Sana hapa Tanzania au sio? Endeleeni kuwajaza ujinga wataishia kuwa walemavu 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-095145.png
    Screenshot_20220611-095145.png
    141.5 KB · Views: 10
Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.

Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani
Wakenya tumekosa akili vipi licha ya Kenya kuipiga TZ kwenye gdp, gdp per capita, gni, gni per capita, HDI na kadhalika?
 
Wakenya ni watu wenye roho mbaya sana na hapa wanazidi kuthibitisha roho yao mbaya iliyoota mizizi, wao kila baya likitokea Tz wanajitahidi kulipeleka viral huku lengo lao likiwa ni kuharibu taswira ya Tz ili watalii waende kwao, kulaniwa kwao na Mwenyezi Mungu mpaka kukosa mali zingine ukiacha wanyama basi ndio wamekuwa wakipambana na Tz kwa kila hali ili tu wapate pate watalii japo kidogo.

Roho zinawauma wanapoona Tz inawapiga kote kote, Wakunya msiweke chuki na Tz bali muulizeni muumba ilikuwaje akawalaani mkakosa mali na akili hapa duniani
wish tu unge jua ukweli.. wakenya wengi mara nyingi huwa wanasahau ata kama kuna nchi inaitwa tanzania. hivi we are very much ware tht tumewapiku kwa kila nyanja.. tujisumbue na nyinyi tena mbona.!🥱 $114b vs $67b haina uhusiano wa aina yoyote
 
Saiz wanaongoza kupost construction progress ya hili daraja, ila siku likipata shida utasikia 'si bora wangelijenga morogoro huko etc.. ilikuwa ni ujinga wa magu kutumia mabilion kujenga bridge huko kwao, yan kila kitu mwanza'..
Kwani mkabila Magufuli alitoa hela zake mfukoni kulijenga? Angekuwa kaja baada ya Samia huu mradi ungesimama ukaenda kuibuliwa Chato! Refer NHC na NSSF projects!
 
Back
Top Bottom