Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hajafikia Sukumagang leader aliyesimamisha mradi wa kujenga chuo cha kilimo change kumbukumbu ya Mwl Nyerere Butiama 2015 ila kuenda kuanzisha utitiri wa vyuo Chato.










Huku hiki kikikwama toka Kikwete atoke madarakani!
Hiyo inajulikana kwamba hajamfikia kwa kila kitu, ukabila, ukatili, kuvunja Katiba ya nchi, Elimu, uchapakazi, uwezo wa akili, uzalendo, ubunifu na matumizi Bora ya pesa za serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo inajulikana kwamba hajamfikia kwa kila kitu, ukabila, ukatili, kuvunja Katiba ya nchi, Elimu, uchapakazi, uwezo wa akili, uzalendo, ubunifu na matumizi Bora ya pesa za serikali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni kama unatafuta attention mzee, uzalendo na ukabila havi-mix ni kama mafuta na maji! I thought u r smarter than this! Jamaa yuko six feet underground ukabila wake haukusaidia hapo Chato!

Baada ya upendeleo woote still watu wake hawajakuwa-emancipitated from their tribal cocoon setup for favoratism! Probably wamekuwa addicted na kupewa kila kitu. Eti bado saahii wanadai mkoa wa Chato! IRMAO hata nchi wanaweza kupewa na watabaki hivyo hivyo!

Sikiliza hili kabila la Chato lilkitoa vitisho baada ya Prof. Tibaijuka kutoa nondo ya Chato kukosa vigezo vya kuwa mkoa!




VS


 
Wewe punguza mihemko. Kubali kwamba mumewafanyia Wamaasai unyama yaishe.
Sijakataa kuwafanyia unyama, lengo ni kuwaonyesha kwamba unyama unaofanyika Tanzania ni 5% ya ule unaofanyika Kenya.

BTW, mbona sisikii wakenya wakimkashifu mama Samia kwa huu ukatili Kama mlivyokua mkimsema Magufuli?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
"DEMOCRATIC" Republic of Tanzania
Hivi Kenya Kuna Demokrasia kuizidi Tanzania?, Hata vichaa watakucheka[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
"DEMOCRATIC" Republic of Tanzania hehe shaaaame
Screenshot_20220611-102352-866.png
Screenshot_20220611-102724-058.png

 
Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
Ukishasema hivi ndiyo unategemea Tz itavunjika vunjika kama Kenya? Unajisumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania is a failed state. Loliondo genocide against wamasaai inatekelezwa na CCM na mashabik wake. Mama suluhu hapendi Tanganyika. Anauzia beberu muarabu ngorongoroView attachment 2257059
Alafu we jamaa nahisi unatumia Tecno j7 ya kitambo sana hii simu niliitumia kipindi nipo shule, haikai na chaji hii simu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220611-103216.jpg
 
Kama huo ni unyama uliokithiri, huu utasema ni unyama wa kiasi gani?


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

This is a very lame excuse how can you compare election violence to brutally beating peaceful Maasai settlers from their land?? In the election violence the crowd is violent too but what have the Maasai done to deserve that for the goverment to pocket a few dollars nkt! Shaaaame if you are a patriotic Tanzanian when the government does wrong you point out not just support inhumane behaviours
 
Wewe huwa unatanguliza Kenya kwenye kila kitu. Hata mke wako akifirwa najua utasema ni Mkenya amefanya hivyo. Najua ukiwa ndotoni, huwa unaota Wakenya wakikukimbiza kila wakati.
Bwana Tony futa upesi hayo ndiyo matusi ya kupigwa ban sasa.
 
Alafu we jamaa nahisi unatumia Tecno j7 ya kitambo sana hii simu niliitumia kipindi nipo shule [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2257113
Hehe Wacha ushamba si lazima iwe techno hiyo Ni version ya android Na simu zote zinatumia that version have the same look
 
Aliemfungulia kesi ndio kaimaliza hapo unaonaje
Enzi za kubanwa kwa uhuru wa mahakama, Mbowe hajawahi kutiwa ndani bila dhamana kwa zaidi ya miezi 5, enzi za uhuru wetu, tumemsingizia kesi ya ugaidi na kumuweka ndani kwa miezi 8 [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
DEMOCRATIC country you said hehe eti mama anajali.. nkt! The best part with the truth you can never hide it for long
 
Leo hii wapo nchi nzima. Ukienda Sumbawanga wapo, ukienda Lindi na Mtwara wapo, ukienda Kigoma pia wapo, ukienda Morogoro wapo. Sasa kwa nini hawataki kuishi kwa kufuata sheria!? Kwani wao wana utawala wao?
Tatizo ni ushabiki wa kijinga tulionao watanzania, kiongozi/serikali ikitimiza wajibu wake, baadhi yetu kwa ushabiki tunalalamika na kusema watu wanaonewa kwasababu za kisiasa au kabila/mikoa wanayotoka

Kama Kuna kupigwa bila sababu za msingi, Hilo ni jambo baya, lakini kuondolewa kwa wamasai huko mbugani, ninaunga mkono 100%

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ujinga wao ndiyo unaowagharimu.
Kutwaa ardhi kwa manufaa au masilahi ya Taifa ni jambo la kisheria. Hilo halihojiwi, ni utekelezaji tu, kama ilivyofanywa kwa maeneo mengine ya migodi, barabara, hifadhi za misitu, n.k.

Kwani nyie ile MAU EVICTION ilikuwaje?
Mkuu, watu wakiambiwa waondoke katika vyanzo vya maji, baadhi yetu tunadai ni ukabila ndio chanzo, hili ni tatizo Sana mkuu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom