Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimenotice kwamba kiswahili chako ni kizuri kushinda cha Watanzania wenzako. Asubuhi uliniambia nitumie tafsida ikanibidi niende kwa kamusi kuangalia maana ya neno hilo. Sasa naona unatumia neno "tengefu".
Kiswahili cha kawaida icho brou una weweseka "tengeu" inatokona na "tenga" ,kutenga
 
kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia ndio maana unaona wakenya humu wamelishkilia hili bango 👇👇👇
DD74BAA5-BD57-4050-A5C1-3A994999B771.jpeg
 
which rights ww unawaskiza wapinzani wa nchi hii wanaotetea ushoga wengine wanafikia hatua mpaka ya kutoa siri za nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa hiyo kulingana na wewe mpinzani hawezi kua na maono sawa?
 
Back
Top Bottom