Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Bwana James Mwangi achukue dar port kama collateral 😂 😂 😂
CCM NI MAVII NINAWAAMBIA KILA SIKU ..KUWA HUYU SA100 NI GENGE LA MUHUNI WANAO TUMIWA NA WAARABU NA WAHINDI WANDANI YA NCHI NA MABEBERU MAFISADI KUHUJUMU TAIFAMaasai Ngorongoro wameamua heri kufa kuliko kuachia beberu shamba lao
Haaa hakuna bado mtanange wa geza ulole na marehemu uendeleeMkuu huu mjadala tuachane nao, watu wameshajua Kati ya wewe na Magufuli mkabila ni Magufuli.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app




Ilo mimi nililipinga toka kipindi cha jpm ...kwa sababu uwezi kukomboa taifa kwa kusujudia wakoloni ....jengo la kisenge kabisa hilo linawafaa mramba maviii ya wazungu na waarabu kina sa100 na kina kikweti ....mtu kama mimi ningelivunja siku moja tuWabunifu wapo usichojua ni malaika kwa upeo ake finyu aliamuru design ya ikulu ya Dar ijengwe Chamwino bila maboresho yeyote! Sasa design ya jengo la mkoloni haiwezi ku-fit era hii!
Ingia website ya Estim uone portifolio yao kuna jengo the Luminary ambalo limepata green technique award! Pia angalia hata jengo la CRDB Bank! Hii project ya Chamwino should have been a chance to demonstrate the World what Tanzanian architects can do! Na si copy and paste!
The Luminary : ::: Estim Construction :::
estimconstruction.co.tz
Ilo mimi nililipinga toka kipindi cha jpm ...kwa sababu uwezi kukomboa taifa kwa kusujudia wakoloni ....jengo la kisenge kabisa hilo linawafaa mramba maviii ya wazungu na waarabu kina sa100 na kina kikweti ....mtu kama mimi ningelivunja siku moja tu
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.Punguza kulia lia kwa afya ya mwili wako.
Tuvunje na flyovers, BRT zinazofanana na za mkoloni tujenge zetu tutakazo design wenyewe.Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
Kwahiyo JPM alifanya la maana ku-copy na ku-paste pale?kwani ile ni nyumba binafsi au ya Taifa?Tuvunje na flyovers, BRT zinazofanana na za mkoloni tujenge zetu tutakazo design wenyewe.
Posta, the only 'Free Standing Central Business District' in a landmass of 947,000km², 5th in africa! 🙊
Maviiii ya kukuHilo jengo la TRC Dodoma limezingatia biashara ya shirika hence limechukua muundo wa wagons za train ni ubunifu tuu.
Tunataka ubunifu positive na wakisasa siyo neno kama treniHilo jengo la TRC Dodoma limezingatia biashara ya shirika hence limechukua muundo wa wagons za train ni ubunifu tuu.
Hivi majengo ya kisasa kama mahoteli hayana viyoyozi ???? Hilo jengo limekosa sura nzuri ya mapokeziHuo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.
Kwasababu hakukuwa na hilo jengo before na wala hakukuwa na wala hakukuwa na dalili za kujenga huko nyuma haina shida wacha hilo hilo linatosha kuliko kutokuwepo kabisa, nchi inaweza ikawa na choice zake, inaweza ikataka yenyewe kuwa na majengo fulani yanayofanana shida nn? Mbona majengo mengi mapya ya mahakama kama sio yote yanafanana?Kwahiyo JPM alifanya la maana ku-copy na ku-paste pale?
Kwenye uwanja ilikuwa sahihi kwa sababu kale kauwanja ka uhuru siyo......sema labda useme tunatakiwa kuwa na uwanja mwingine mkubwa dar hivyo huo ujengwe kwenye wilaya nyingineNinahisi ikulu ya Dodoma ingekuwa tofauti na Ile ya Dar ili kupata ladha tofauti, ni jambo dogo tu la ladha, halina madhara yoyote katika uchumi au "Convenience" kwa wananchi.
Uwanja wa Mkapa kujengwa karibu na Uwanja wa Uhuru, ni kosa kubwa Sana. Dar es Salaam inatanuka Sana, nilitegeme uwanja mwengine mkubwa kujengwa upande wa kaskazini mwa Dar, maeneo ya Kawe/Mwenge/Bunju/Tegeta/Madale/
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
hueezi ona hawa makajamba wa tanzagiza wakikashifu serikali yao.Kuna genocide inanukia, waarabu wanataka ardhi ya maasai kwa nguvu. Let's spread the news
Tanzania is not safe for tourism
View attachment 2256297View attachment 2256298View attachment 2256299