Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hapo huoni ukabila? Unajua upande wa Biharamulo waliotengwa ni makabila gani? Jamaa alikuwa mkabila aliyekubuhu! Mipango ya Mungu ni siri kubwa maana nina uhakika hii term angeongeza kupendelea alipotoka! Ngoja nokuletee evidence..
Mkuu huu mjadala tuachane nao, watu wameshajua Kati ya wewe na Magufuli mkabila ni Magufuli.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bila JPM wangepeleka popobawa Marekani? JPM ni maji!
Unakuta mtu anashangilia TC kuanzisha safari sehemu fulani huku anatia na vineno "mama anaupiga mwingi" sasa mtu unajiuliza huyu mama angeweza kununua japo Q400 moja huyu ikiwa msoga ilimshinda? Mwingine utakuta anaandika bila aibu "bwawa la JNHPP kazi inaendelea" alafu hapo hapo anaweka vineno vya kejeli kwa mtangulizi aliyeanzisha huo mradi uliowashinda viongozi wote wenye akili kuliko huyu.

Tanzania aiseee tuna malaya wa kisiasa wengi sana, mm nilishaacha kuangalia TV mana umalaya uliopo kwenye station zetu ukianza na TBC hauvumiliki.
 
Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland? Tena sector ambayo tuna comparative advantage sio?
Wakati James Mwangi alikuja Ikulu kukutana na Mama wewe Geza Ulole ulimtukana sana na kumuita mwizi. Sasa hukujua wanazungumza nini. James alikuwa amealikwa na mama wazungumze jinsi Equity bank itaikopesha Serikali ya Tanzania. Wewe jua kwamba hii nchi unayoiita Kunyaland ni superpower kwenye sector ya benki ukanda huu. Chuki yako dhidi ya Kenya haitobadilisha huo ukweli.

Cc joto la jiwe
tuusan
 
Huo sio mkopo, wanataka kuwekeza katika sector ya madini na kilimo, wamegundua madini na kilimo vinalipa zaidi ya Banking sector, hiyo ni FDI sio mkopo.

Hiyo ni kuthibitisha kwamba, mkenya yeyote akifika Tanzania hawezi kurudi Kenya, Tanzania ni nchi ya maziwa na asali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, huo sio mkopo, Equity wanataka kuwekeza katika kilimo, madini, na ujasiriamali, wameona Kuna fursa nyingi nje ya sector ya Banking, Hilo ni jambo zuri Sana Kama wataweza, lakini Kama utakumbuka yule mkenya aliyetaka kununua korosho, hawa wakenya ni matepeli Sana, sidhani Kama watatekekeza, hawana hiyo pesa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Leta evidence ya unachosema.
 
Huo sio mkopo, wanataka kuwekeza katika sector ya madini na kilimo, wamegundua madini na kilimo vinalipa zaidi ya Banking sector, hiyo ni FDI sio mkopo.

Hiyo ni kuthibitisha kwamba, mkenya yeyote akifika Tanzania hawezi kurudi Kenya, Tanzania ni nchi ya maziwa na asali

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wacha ujinga. Equity bank iwache kuwa bank ianze kuendesha mines? Leta ushahidi ya unachosema. Angalau ningekuelewa ikiwa ungesema Equity bank inataka kutoa mikopo kwa mining companies hapo Tanzania.
 
Wacha ujinga. Equity bank iwache kuwa bank ianze kuendesha mines? Leta ushahidi ya unachosema. Angalau ningekuelewa ikiwa ungesema Equity bank inataka kutoa mikopo kwa mining companies hapo Tanzania.
Hivyo ndivyo Bank zinavyowekeza. Kwani serikali, au NSSF wanapoamua kuwekeza, huwa wanaacha kazi na majukumu Yao ya msingi na kwenda kuwekeza?.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiota
Wabunifu wapo usichojua ni malaika kwa upeo ake finyu aliamuru design ya ikulu ya Dar ijengwe Chamwino bila maboresho yeyote! Sasa design ya jengo la mkoloni haiwezi ku-fit era hii!

Ingia website ya Estim uone portifolio yao kuna jengo the Luminary ambalo limepata green technique award! Pia angalia hata jengo la CRDB Bank! Hii project ya Chamwino should have been a chance to demonstrate the World what Tanzanian architects can do! Na si copy and paste!

Wabunifu wapo usichojua ni malaika kwa upeo finyu aliamuru design ya ikulu ya Dar ijengwe Chamwino bila maboresho yeyote! Sasa design ya jengo la mkoloni haiwezi ku-fit era hii!

Ingia website ya Estim uone portifolio yao kuna jengo the Luminary ambalo limepata green technique award! Pia angalia hata jengo la CRDB Bank!
Hata Mimi sikupenda uamuzi wa "cut & paste" wa Ikulu ya Magogoni kwenda Chamwino

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hata Mimi sikupenda uamuzi wa "cut & paste" wa Ikulu ya Magogonj kwenda Chamwino

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Upeo angetoa wapi Ngosha? Kipindi cha maziko ya Mengi picha za nyumba yake zilikuwa zinazunguka online. Designer wapo wengi tu wangetoa jengo green n iconic kupita maelezo! What a wasted opportunity!
 
Upeo atoe wapi Ngosha? Kipindi cha maziko ya Mengi picha za nyumba yake zilikuwa zinazunguka online. Designer wapo wengi tu wangetoa jengo green n iconic kupita maelezo! What a wasted opportunity!
Mkuu, makosa madogomadogo Kama haya huwa yanajitokeza Sana, kitendo cha Mkapa kujenga ule uwanja wa taifa karibu na Uhuru stadium, pia ninahisi haukua uamuzi mzuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, makosa madogomadogo Kama haya huwa yanajitokeza Sana, kitendo cha Mkapa kujenga ule uwanja wa taifa karibu na Uhuru stadium, pia ninahisi haukua uamuzi mzuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lile si kosa dogo ila ilikuwa ni ubabe wa Ngosha wa kutotaka ushauri uliochanganyika na kukosa upeo kwenye mambo ya muhimu ya Kitaifa! Kuhusu Mkapa stadium pale Taifa, aidha wangeubomoa ule wa zamani au wangetafuta namna ya kutanua ile plot! Ila location ipo sawa na wanaoenda kujenga Arena Mabwepande wanakosa upeo pia! That location overthere is the best thing an event complex can have in Dar! Take that to the Estate banks to determine how much the location worths!
 
Back
Top Bottom