Ww kichwa maji usijibizane na mm na hata huelewi mana ya M3( ndio walewale wakusema kuongezeka pesa kwenye mzunguko)...kachezeHuelewi hata maana ya hicho unachoita fiscal policy,kwa hiyo fiscal inaondoa au kupunguza money M3 kwenye uchumi?![]()
kwani ukipost render nikakwambia umepost render kwann upanic sasa 😂😂ONCE A RENDER,digest this one first to soothe your belly aches.View attachment 2255544View attachment 2255545View attachment 2255546
Alafu unacheka nini wakati hata ulicho andika huelewiHuelewi hata maana ya hicho unachoita fiscal policy,kwa hiyo fiscal inaondoa au kupunguza money M3 kwenye uchumi?![]()
Matunda ya royal tour sio
Ndio mkuuDu ...kama 80![]()
Sasa hapo huoni ukabila? Unajua upande wa Biharamulo waliotengwa ni makabila gani? Jamaa alikuwa mkabila aliyekubuhu! Mipango ya Mungu ni siri kubwa maana nina uhakika hii term angeongeza kupendelea alipotoka! Ngoja nikuletee evidence..Nilisema kwamba baadhi ya shutuma za Magufuli Zina ukweli, hasa kuhusu Chato, lakini hizo zingine za Kaskazini, ukabila na zingine hizo sio sawa.
Ila hakuna sababu ya kuendekeza huu mjadala, watu wameshajua ukweli upo wapi.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa ndiyo ujenge majengo yote yenye kufanana kama kumbikumbi hicho kitu nilikipinga toka mwanzo wa ujenzi kujenga ikulu inayofanana na ikulu ya mkoloni ni upumbavu kabisa sasa watoto wetu tutawa fundisha nini kwenye ubunifu kama tunaendekeza utumwa katika kila kitu .....au mnataka tukitaka kufundisha watoto wetu kuhusu tz na ikulu tunaanza na kumbukumbu za sultani na kina Karpeter ili kuielezea ikulu yetu mpya tuliyo jenga wenyewe kwa zaidi ya miaka 60 toka mkoloni kuondokaWacha mambo yako lwiva hiyo ikulu iko poa, ulitaka iweje? Tangu kujengwa kwake Magu alishasema itafanana na ya Dar, sasa unavyoona haifanani na ya Dar? Badala uwasifie wajenzi wamejitahidi mpk tofauti haionekani unaanza kulaumu, ulitaka iweje? Ifanane na ya USA? Hiyo ikulu iko poa na haina kasoro, msitake kufanya kila kitu kikidhi matakwa yenu, kuna mengine tulidhike na kilichopo mana hakikuwepo before.






Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland? Tena sector ambayo tuna comparative advantage sio?Equity Bank ya Kenya kuikopesha Tanzania sh.13Tilion za Miradi 👇
Kwani shida yako ni pesa au shida yako ni Kenya?Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland?
Bila kumsahau DialloKwani Azory Gwanda alitokea kaskazini?, Nilikuambia kwamba Magufuli alikua ni mtu katili, kiburi na alikua anakandamiza uhuru wa kisiasa, lakini hakuwa akilenga jamii Fulani, vitendo vyake vya kikatili walifanyiwa watu wote bila kujali kabila Wala jamii Fulani, kwanini umewekeza nguvu nyingi huko Kaskazini?.
Hili shamba la Mbowe, sababu za kuharibiwa zimeelezwa wazi kwamba alilima katika chanzo cha maji, jambo ambalo limekatazwa na Katiba ya nchi, alipewa miezi 4 kusitisha kilimo lakini hakutii Sheria za Nchi, yeye ni nani asichukuliwe hatua?, Mbona huzungumzii kitendo cha Mo Dewji kunyang'anywa mashamba ya Mkonge kule Tanga baada ya kushindwa kuyaendeleza, mbona huzungumzii kunyang'anywa mashamba ya Sumaye kule Morogoro, au kuchukuliwa kwa viwanda toka kwa matajiri walioshindwa kuviendeleza nchi nzima, wewe umekazania Kilimanjaro"specifically Mbowe?"
Mdude kutoka mkoa wa Mbeya, wanunuzi wa korosho huko Mtwara na Lindi, wote waliathirika kwa namna Moja au nyingine, Rugemarila na Seith, wote walikutana na Joto la utawala wa Magufuli, Nape Moses Mnauye alitolewa bastola hadharani, Kinana na Makamba walitukanwa hadharani na Musiba bila hatua zozote kuchukuliwa, kwanini usiwatetee hao wote badala yake unashikilia watu wa Kaskazini?, mkuu wewe una chembechembe za ukabila sio bure.
Mkuu, kusimikwa kwa Samia kuwa chief Mimi inanihusu nini, tunazungumzia Magufuli hapa, Samia ameingiaje, kwanini unataka kujishusha kiasi hicho?," I thought you are much better than this".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Biashara gani ya Diallo iliharibiwa na malaika?Bila kumsahau Diallo
Kuna watu tunao nchini ambao huwa na mapenzi ya watu fulani fulani badala ya nchiHuyu hapa Katibu Mkuu Uwekezaji akitia neno Kuhusu ujuha wa Mwendazake kwa kukurupuka alivyojaribu FDI na alichofanya SSH![]()
Huo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.Sema wabunifu tz hakuna kabisa hiyo ikulu ipo hovyo kabisa ....kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi katika design hapa nchini au kuna ufisadi ,nikama sgr yetu terminal ya dar kunakosa kubwa kwenye sakafu ya kwanza ya lile jengo mlango wake kama pango ...kwandani lipo sawa ila nje kwenye maingilio ni kama kiota
Hilo jengo la TRC Dodoma limezingatia biashara ya shirika hence limechukua muundo wa wagons za train ni ubunifu tuu.Stupid design ....very stupid design ...huu ni upigaji wa pesa tu hivi tz hakuna madesign wapya na bora kuliko hivi vituko sasa hiyo ni ngome ya jeshi au gereza la wafungwa![]()
DuhHuo mlango kwenye sgr Station hautakiwi uwe mkubwa kumbuka hilo jengo ni green halafu ni full kiyoyozi milango mikubwa ya automatic itakaaje hapo. Milango mikubwa inakaa sokoni na kwenye Station ambazo hazina viyoyozi.