Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wabongo wanatumia kuni kama lane separators. 🤣 🤣 🤣 🤣

Image
 
Asante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.
Screenshot_20220610-144930.jpg
 
Asante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.View attachment 2256337
Utangoja sana we mefiiiiii. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
SGR imefanana vipi na mkoloni wakati hiyo ni sayansi na technology [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]sisi tunaongelea design ya kukopi jengo la mkoloni ambalo katumia akili ya miaka ya1900 hukoo kubuni sasa unatumia ubunifu wa zama za mawe na kuujenga tena ...ni sawasawa na kujenga kiwanda cha magari ya kizamani na kuyaleta leo tz nani atanunua ... dunia ya sasa ni dunia ya modification ndiyo maana tunajenga sgr badala ya ile reli ya mgr ya mkoloni
 
Mambo mengine huwa yanasikitisha sana, sasa kama hatulitaki jengo kisa linafanana na la mkoloni mbona tunashangilia SGR inayofanana na ya mkoloni.
SGR INAFANANA NA RELI YA MKOLONI[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] MGR[emoji40][emoji40][emoji40]
 
Wabongo wana vituko ajab. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Image
Si bora kaburi lilikuwepo kabla ya barabara kuliko hii iliyojengwa na ma engineer wa kikenya, no wonder serikali ya Kenya haiwapi hata cm moja ya roads zinazojengwa kwa donation toka China [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1594643582352.jpg
 
Asante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.View attachment 2256337
Na mimi je? pia nipigwe ban ama? unaonaje? 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 , huu uzi pia umechoka sana, wacha watu wastarehe kwa raha zao, mbona ume panic?
 
SGR imefanana vipi na mkoloni wakati hiyo ni sayansi na technology [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]sisi tunaongelea design ya kukopi jengo la mkoloni ambalo katumia akili ya miaka ya1900 hukoo kubuni sasa unatumia ubunifu wa zama za mawe na kuujenga tena ...ni sawasawa na kujenga kiwanda cha magari ya kizamani na kuyaleta leo tz nani atanunua ... dunia ya sasa ni dunia ya modification ndiyo maana tunajenga sgr badala ya ile reli ya mgr ya mkoloni
Kwahiyo jengo likifanana kwa nje it means na ndani liko hivyo hivyo, na iweje Magu aseme hawezi kumuachia mgeni amjengee nyumba yake ya kulala, sasa alitaka kuficha nn ilihali kila kitu linafanana na lile la Dar?
 
Na mimi je? pia nipigwe ban ama? unaonaje? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huu uzi pia umechoka sana, wacha watu wastarehe kwa raha zao, mbona ume panic?
We mlevi tu kama dyfre huwa unaropoka ropoka tu usipigwe ban wala nn, huwa unachekesha jukwaa kwa wishful thinking zako.
 
We mlevi tu kama dyfre huwa unaropoka ropoka tu usipigwe ban wala nn, huwa unachekesha jukwaa kwa wishful thinking zako.
Wewe ndio king wa wishful thinking humu, na ndoto za aliniacha 😂 😂 😂 😂 , eti Tz GDP is $150B na pato la taifa ni size ya Ugandan type economy😂😂😂😂., biggest and busiest airport, biggest port😂😂😂😂😂😂😂😂😂, pumzika bana., wewe inafaa upigwe ban walai kwa kujaribu kupotosha, pia na vipicha., Moderator piga huyu jamaa ban, ni mwehu kweli.,😜😂😂😂😂
 
Si bora kaburi lilikuwepo kabla ya barabara kuliko hii iliyojengwa na ma engineer wa kikenya, no wonder serikali ya Kenya haiwapi hata cm moja ya roads zinazojengwa kwa donation toka China [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2256352
Ni jambo la kawaida electricity posts kusongeshwa barabara inapotengenezwa, hata hii ilisongeshwa tu hakuna cha kushangaza hapo. Kaburi kwa barabara hilo ni jambo geni sana. 🤣 🤣 🤣 🤣 wabongo munazikana hadi kwa barabara.
 
Asante Moderator kwa kuwapiga ban wahuni kama hawa wanaotaka kuharibu uzi kwa makusudi kisa tunawazidi maeneo mengi, pia huyo muhuni ana I'd nyingine inaitwa Coco Master pia nayo naomba uipige life ban, na ikikupendeza pia naomba umuangalie kwa makini muhuni mwengine anaitwa nairobae Wakenya tunaomba muwe wastaarabu shida mlizonazo msizilete humu kwenye huu uzi tafadhali.View attachment 2256337
Piga nduru vizuri
 
Back
Top Bottom