Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Makupa Bridge, Mombasa.
Sama boy 255 bado unataka battle ya Mombasa vs Mwanza?
View attachment 2255593View attachment 2255594

Cc ichoboy01
😂😂😂 Hiyo ni jock kwa Mwanza 👇Busisi cable stay bridge 3.2 km .. mombasa haitawahi pata infrastructure yenye ukubwa huu kwa miaka 100 ijayo
IMG_20220525_090440_195.jpg
 
Kuna watu tunao nchini ambao huwa na mapenzi ya watu fulani fulani badala ya nchi
Ndio maana Nchi haiendelei..Kwa taarifa yao tuu hata uamuzi wa Serikali kuchukua mkopo wa uviko 19 sio tuu kukabiliana na effects za uviko 19 bali ilikuwa na kuziba gap la forex reserves ambayo ulianguka na kuhatarisha value ya shilingi na kuanza rationing ya imports so it was an argent measure..

Ila mburula wa Mwendazake hawawezi elewa hili zaidi ya kujipiga kifua..
 
what am trying to mean here is tht magufuli was very bitter with kenya because tanzania has wht it takes to make it the dorminant economy in eastern and central africa. not only does tz have a huge chunk of landmass 950,000km².! (which is almost 2× the size of kenya). but it's also 95% green and fertile.. tz is endowed with the most sought after minerals includng gold and for which case is the 3rd producer in africa. tz has a larger population... all that said, you still however find tht kenya, a smaller country with 75% arid lands but still consistently outperform its neibas in all fronts. so whatever magaful was upto against kenya, is brewed out of extreem jealousy, hivi kwamfano ata kunyima wakenya work permit ama ata hizo ngombe zetu zote 1,300 hangeziwachilia tu ivo.!
Vipi kuhusu Nyerere ambaye alifikia hatua ya kufungua mipaka na Kenya na kuweka majeshi tayari kuishambulia Kenya?, Nyerere alifikia hatua ya kuwaita "Nchi ya watu wanaokula nyama za binadamu, "Man eat man"

Why are you soon much "obsessed with Tanzanian presidents' relationship with Kenya?, If a Tanzanian president hates or likes Kenya why it matters a lot for majority of Kenyans such that you keep talking about it over and over?.

Let me tell you, so long as your countries economy relies on Tanzania, the effect of Tanzanian president will hurt you forever.

I don't understand why the citizens of other country can talk and be annoyed by the way a president of another country think about their country.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland? Tena sector ambayo tuna comparative advantage sio?
Mkuu, sijui wewe unafikiriaje lakini huyu jamaa jinsi anavyojibu posts za watu kwa kutumia maneno yasiyokua na staha, sidhani Kama Kuna sababu ya kujibu posts zake, lengo ni kumuonyesha kwamba hatupendezwi na vitendo vyake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Duh..yaani of all the banks kaona akakope Kunyaland? Tena sector ambayo tuna comparative advantage sio?
Mkuu, huo sio mkopo, Equity wanataka kuwekeza katika kilimo, madini, na ujasiriamali, wameona Kuna fursa nyingi nje ya sector ya Banking, Hilo ni jambo zuri Sana Kama wataweza, lakini Kama utakumbuka yule mkenya aliyetaka kununua korosho, hawa wakenya ni matepeli Sana, sidhani Kama watatekeleza, hawana hiyo pesa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom