Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah safi sana, kwahiyo hapo kwa sasa B787 zote mbili zitakuwa zinapishana angani, hii route ina abiria c mchezo, hapo pia kuna ile ATC213 ya NLA-FBM-DAR inaleta transit wengi sana wa kwenda Mumbai. Hili shirika soon linakwenda kuwa kubwa East Africa baada ya hapo tutaanza kumtafuta ET. Ushauri wangu kwa ATCL waache uswahili ili waondokane na delays za kipumbavu zen wawe competitive internationally.
 
Wakati James Mwangi alikuja Ikulu kukutana na Mama wewe Geza Ulole ulimtukana sana na kumuita mwizi. Sasa hukujua wanazungumza nini. James alikuwa amealikwa na mama wazungumze jinsi Equity bank itaikopesha Serikali ya Tanzania. Wewe jua kwamba hii nchi unayoiita Kunyaland ni superpower kwenye sector ya benki ukanda huu. Chuki yako dhidi ya Kenya haitobadilisha huo ukweli.

Cc joto la jiwe
tuusan
Equity haina uwezo wa kuikopesha serikali ya Tanzania narudia tena haina uwezo huo. Hivi mnajua USD 6bn nyie au mnafikiri hiyo ni mchezo. Equity yenyewe uwezo wake kifedha haujafika huko na kama wangekuwa na uwezo wangeikopesha serikali ya Kenya kwanza sio TZ.
 
Beautiful and neat... going through the comments, Africans are really impressed by this city. How I wish nms continues into the next 5 years
Neat iko wapi hapa, ondoeni haya mauchafu kwanza ndio muite neat
Screenshot_20220523-231630.jpg
 
Route inaelekea profitable sana hii.
Inaabiria wengi sana, watu wa marketing wa TC naona wako vzr sn hawakurupuki tu kupeleka ndege sehemu fulani ili ionekane mnaenda destinations nyingi ila wanatafuta masoko yenye tija, ikitoka USA waangalie uwezekano wa kwenda UK pia route ya JNB irudi ina abiria wengi pia.
 
Dah safi sana, kwahiyo hapo kwa sasa B787 zote mbili zitakuwa zinapishana angani, hii route ina abiria c mchezo, hapo pia kuna ile ATC213 ya NLA-FBM-DAR inaleta transit wengi sana wa kwenda Mumbai. Hili shirika soon linakwenda kuwa kubwa East Africa baada ya hapo tutaanza kumtafuta ET. Ushauri wangu kwa ATCL waache uswahili ili waondokane na delays za kipumbavu zen wawe competitive internationally.
Mkuu, hii ratiba Yao haieleweki ninahisi Kuna makosa. Vipi siku ya Jumatatu imejitokeza mara mbili, yaani kutakua na safari za kutoka na kwenda Mumbai ndani ya siku Moja, hapa Kuna utata kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, makosa madogomadogo Kama haya huwa yanajitokeza Sana, kitendo cha Mkapa kujenga ule uwanja wa taifa karibu na Uhuru stadium, pia ninahisi haukua uamuzi mzuri.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Eneo la uwanja wa taifa ni designated sports complex kulitakiwa kujengwe viwanja vya mpira indoor stadium na hostels za wanamichezo.
 
Equity haina uwezo wa kuikopesha serikali ya Tanzania narudia tena haina uwezo huo. Hivi mnajua USD 6bn nyie au mnafikiri hiyo ni mchezo. Equity yenyewe uwezo wake kifedha haujafika huko na kama wangekuwa na uwezo wangeikopesha serikali ya Kenya kwanza sio TZ.
Hii ni arrangement kutoka financing institutions nyingine itakayosimamiwa na Equity Bank Tanzania! Equity total assets ni $7 bln and that loan is over $5 bln! There is no way that Bank can afford to dish that huge loan!
 
Mkuu, hii ratiba Yao haieleweki ninahisi Kuna makosa. Vipi siku ya Jumatatu imejitokeza mara mbili, yaani kutakua na safari za kutoka na kwenda Mumbai ndani ya siku Moja, hapa Kuna utata kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hapana hakuna utata, hapo kuna 400 ya kutoka Dar kwenda Mumbai na pia kuna 401 ya kutoka Mumbai kuja Dar. Mwanzoni ilikuwa ni dreamliner moja tu inayotakiwa ku operate but now zitakuwa zinapishana angani mana itakuwa ni route ya kila siku.
 
Inaabiria wengi sana, watu wa marketing wa TC naona wako vzr sn hawakurupuki tu kupeleka ndege sehemu fulani ili ionekane mnaenda destinations nyingi ila wanatafuta masoko yenye tija, ikitoka USA waangalie uwezekano wa kwenda UK pia route ya JNB irudi ina abiria wengi pia.
Maana naona wanakusanya abiria kutoka Zimbabwe na Zambia wana link na flight ya Mumbai abiria watakuwepo tuu hii ni route kubwa sana nadhani mpaka next year itakuwa 7x a week.
 
Hapana hakuna utata, hapo kuna 400 ya kutoka Dar kwenda Mumbai na pia kuna 401 ya kutoka Mumbai kuja Dar. Mwanzoni ilikuwa ni dreamliner moja tu inayotakiwa ku operate but now zitakuwa zinapishana angani mana itakuwa ni route ya kila siku.
Maana yake equipment inayotoka Mumbai kuja Dar ndiyo hiyo hiyo itatoka Dar kwenda Mumbai usiku, yani siku ya Jumatatu kuna dreamliner itatoka Dar kwenda Mumbai na nyingine itatoka Mumbai kuja Dar, kwahiyo moja italala Mumbai na nyingine italala Dar.
 
Maana naona wanakusanya abiria kutoka Zimbabwe na Zambia wana link na flight ya Mumbai abiria watakuwepo tuu hii ni route kubwa sana nadhani mpaka next year itakuwa 7x a week.
Yah, hapo flights lazima zitaongezeka.
 
Nadhani kuwepo na kutokuwepo kabisa ni bora kuwepo.
Ninahisi ikulu ya Dodoma ingekuwa tofauti na Ile ya Dar ili kupata ladha tofauti, ni jambo dogo tu la ladha, halina madhara yoyote katika uchumi au "Convenience" kwa wananchi.

Uwanja wa Mkapa kujengwa karibu na Uwanja wa Uhuru, ni kosa kubwa Sana. Dar es Salaam inatanuka Sana, nilitegeme uwanja mwengine mkubwa kujengwa upande wa kaskazini mwa Dar, maeneo ya Kawe/Mwenge/Bunju/Tegeta/Madale/

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Equity haina uwezo wa kuikopesha serikali ya Tanzania narudia tena haina uwezo huo. Hivi mnajua USD 6bn nyie au mnafikiri hiyo ni mchezo. Equity yenyewe uwezo wake kifedha haujafika huko na kama wangekuwa na uwezo wangeikopesha serikali ya Kenya kwanza sio TZ.
Punguza wivu. Equity ni top 25 biggest bank in Africa
 
Maana yake equipment inayotoka Mumbai kuja Dar ndiyo hiyo hiyo itatoka Dar kwenda Mumbai usiku, yani siku ya Jumatatu kuna dreamliner itatoka Dar kwenda Mumbai na nyingine itatoka Mumbai kuja Dar, kwahiyo moja italala Mumbai na nyingine italala Dar.
Embu wekeni hiyo ratiba hapa tuione. Normally ndege hazilali nchi za watu ikifika hugeuka ndani ya masaa 2. Airline business ni profitable ndege ikiwa angani huku chini ni ghali kuilaza hivyo Airline nyingi hawalazi ndege kwenye viwanja vya watu.
 
Punguza wivu. Equity ni top 25 biggest bank in Africa
sasa Equity bank total assets $7 bln itawezaje kukopesha $5 bln! Peleka ujinga Ukunyani! That financing arrangement itakuwa funded na Governments of Sweden and Denmark!

An arrangement similar to this

Equity Bank, Pass Trust targets to lend loan portfolio to agribusiness​

13Sep 2021
The Guardian Reporter
DAR ES SALAAM
News
The Guardian
Equity Bank, Pass Trust targets to lend loan portfolio to agribusiness
IN a major shift on how banks avoid lending to the agriculture sector due to risks, Equity Bank Tanzania is targeting to give at least 30 percent of its loan portfolio to the sector.
xxxxxxxxxxx.jpg

Equity Bank Tanzania’s managing director, Robert Kiboti (L) and PASS Trust managing director, Yohane Kaduma signing a memorandum of understanding to collaborate in Dar es Salaam. Photo courtesy of Equity Bank.

Speaking in Dar es Salaam during a memorandum of understanding with PASS Trust to provide financing to agribusiness enterprises, Equity Bank Tanzania’s Managing Director, Robert Kiboti said Agriculture being the backbone of the country’s economy has a lot of potential to unleash.

“At Equity Bank, agriculture is our priority area, and we are targeting agriculture loans to read at 30 percent of our general loan portfolio. We are delighted to join forces with PASS Trust to facilitate access to agricultural financing by agribusiness entrepreneurs in Tanzania,” Kiboti said.

Among other things, the MoU with Private Agricultural Sector Support Trust to allows the bank to disburse loans to agribusinesses in the country to build capacities and increase productivity. The targeted agribusiness entrepreneurs include individuals, Micro, Small, and Medium Enterprises (MSMEs), large enterprises, Micro Finance Institutions (MFIs), and associations which will receive low-cost loans backed by the PASS Trust Credit Guarantee Scheme.

In remarks at the signing ceremony, PASS Trust Managing Director, Yohane Kaduma hailed the enhanced partnership with Equity Bank terming it as an excellent opportunity for agribusiness entrepreneurs in the country.

“The entry of Equity Bank into PASS’ pool of collaborating financial institutions brings to 14 the number of banks that PASS Trust is working with in enabling access to agricultural credit through the PASS Guarantee Scheme,” Kaduma said.

“And we invite even more financial institutions to join this pool of PASS’ collaborating banks so that many more Tanzanians engaged in agribusiness can be able to access credit and increase productivity,” Kaduma added while stressing that PASS Trust wants to continue working as a bridge and catalyst in spearheading access to affordable loans to agribusiness entrepreneurs.

In this operating agreement with Equity Bank, PASS will provide between 20-60 percent credit guarantee to top up inadequate collateral to enable clients to get financing. Women-led agricultural projects will benefit with up to an 80 percent. Over 1.7 million agribusiness entrepreneurs have benefited from the PASS credit guarantee scheme since its inception in the year 2000.

Since 2017, the PASS Trust supported the total value of loans amounting to 6.7bn/- with a credit guarantee commitment of 2.6bn/- under the agricultural value chain. The total credit guarantee fund deposited by PASS Trust at Equity Bank to benefit agricultural entrepreneurs is USD 1.0 million or an equivalent to 2.3bn/-.

Back
Top Bottom