Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona unaokota history, unakwepa "present continuous tense"(clip ya jana, June 2022)., umepata tabu sana, pole kwako, ngojeeni 25 years mbele ndio mjilinganishe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naweza nikakuwekea picha 100 za CBD ka Nairobi na zote chafu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220606-114523.jpg
Screenshot_20220416-092548.jpg
tapatalk_1594761297252.jpg
tapatalk_1595920780974.jpg
Screenshot_20220115-105238.jpg
Screenshot_2020-10-14-09-09-08.jpg
Screenshot_2020-10-14-09-09-43.jpg
 
Kwamba Equity bank itaikopesha serikali ya Tanzania $6bn, ndio yale yale ya kusema mna GDP ya $109bn wkt mradi tu wa kujenga 5km za road mnaenda kuomba mkopo France [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Equity bank has a networth of $11B.., hiyo $6B ni kidogo sana, very affordable, mshindwe kulipa tushike ndege, huu ukweli unawauma hadi basi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ,
Pili uchumi wa Kenya ni zaidi ya $109 unayo quote, ni uchungu kwako kuandika ukweli kawaida yako, revenue tu yenye tunakusanya inaweza kufinance Serkali ya Tanzania na change ikabaki, we have priority sectors to finance, ikija infrastructure tunakopa to invest, sio eti kukosa uwezo kama nyie wenye uchumi hafifu, sisi sio wenzenu bana😂😂😂😂😂
 
Tatizo ni ufukara na uchumi hafifu, sio mama, wacha visingizio, jikubalini ba mzee, nchi ni fukara[emoji23][emoji23][emoji23], Equity Bank ipo tayari kuwakopesha mmalize miradi., taifa halina hela, nyie wazembe, mikusanyiko ya ushuru na mapato ni kidogo [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ambayo uchumi wake huendeshwa kwa mikopo?[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa tony najua wewe ni mtu wa Accounts kwenye course uliyosoma kama equity valuation ni 10b na inakopesha 6bn more than half of its valuation kwa mteja mmoja huoni kuna ukakasi hapo kwa sheria za kibenki? Ikumbukwe pia hii total valuation ni inclusive of immovable assets ambazo sio currency kwenye biashara hence tunatarajia assets for loaning purposes in terms of deposits ziwe chini ya hiyo 10bn. Alafu take into account loan portfolio ya equity mpaka sasa ni kiasi gani ndio ujue how much money iko kwaajili ya kukopesha. Piga hizo factors zote uje na majibu hapa. Otherwise you have to agree or disagree with me kama msomi aside from blind patriotism.
Huyu jamaa ana upumbavu mwingi Equity Bank Tanzania wametumika kama loan facilitator ila funders wa hiyo $5-6 bln ni wengine! He should take that to the bank! Na soon the information itakuwa online na nitaweka details humu!

Wacha ujinga Bwn Tony254
 
Naweza nikakuwekea picha 100 za CBD ka Nairobi na zote chafu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2256128View attachment 2256130View attachment 2256131View attachment 2256132View attachment 2256133View attachment 2256136View attachment 2256138
Ata uweke picha mia zenye unaokota okota haubadilishi hali kamili ya sasa vs uswazi 80%..,
Just a glimpse of the standards ya Dar.., kwa karibu., hii standard ni like 90% ya Dar..,
1654852129254.png

Hakuna propaganda na picha za kitambo.. 2022., umetapakaa.., ukubwa wa Dar ni ufukara., kajinyonge bro 😂 😂 😂 😂 😂
1654852489170.png

1654852500151.png

1654852511086.png
 
Kiasi gani Equity Bank imekopesha serikali yenu?, Charity begins at home[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio jambo geni, GoK imekopa kutoka kwa Kenyan banks miaka mingi sana., nyie mmeona fursa, njooni tuwasaide., ujirani mwema, inauma kuona mnakopa kwa bank from economic powerhouse in EAC, be humble guys, sio dhambi kukua fukara, mtaomoka siku moja, 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1654852916173.png
 
Sasa tony najua wewe ni mtu wa Accounts kwenye course uliyosoma kama equity valuation ni 10b na inakopesha 6bn more than half of its valuation kwa mteja mmoja huoni kuna ukakasi hapo kwa sheria za kibenki? Ikumbukwe pia hii total valuation ni inclusive of immovable assets ambazo sio currency kwenye biashara hence tunatarajia assets for loaning purposes in terms of deposits ziwe chini ya hiyo 10bn. Alafu take into account loan portfolio ya equity mpaka sasa ni kiasi gani ndio ujue how much money iko kwaajili ya kukopesha. Piga hizo factors zote uje na majibu hapa. Otherwise you have to agree or disagree with me kama msomi aside from blind patriotism.
Nionyeshe ni wapi nimesema kwamba Equity bank ina uwezo wa kuikopesha GoT $6 billion.
 
Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi gani ambayo uchumi wake huendeshwa kwa mikopo?[emoji38][emoji38][emoji38]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nchi zote mbili zinakopa, ila nyie huwa mnajigamba sana eti mko vizuri 😂 😂 😂 😂 , mambo yakiwekwa wazi mnaonekana mko hovyo sana, mnaumbuliwa kila uchao, sio world bank, IMF, CAG, serikali yenu yenyewe, wenzenu kama akina Baba levo😂😂😂😂😂., nyie wa humu ni domo domo tupu, empty debes😂😂😂😂😂 mnabakia mkitapatapa tu na vijimaneno na kujiliwaza, ukweli unauma kaka, zoea😂😂😂😂😂😂
 
Ata uweke picha mia zenye unaokota okota haubadilishi hali kamili ya sasa vs uswazi 80%..,
Just a glimpse of the standards ya Dar.., kwa karibu., hii standard ni like 90% ya Dar..,
View attachment 2256141
Hakuna propaganda na picha za kitambo.. 2022., umetapakaa.., ukubwa wa Dar ni ufukara., kajinyonge bro [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2256144
View attachment 2256145
View attachment 2256146
Unaweka picha za 90 kujiliwaza, hizi hapa za muda huu nenda ujinyonge [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_-408923274_245x504.jpg
tapatalk_-1169128647_245x504.jpg
JamiiForums-1702345597.jpg
 
Huyu jamaa ana upumbavu mwingi Equity Bank Tanzania wametumika kama loan facilitator ila funders wa hiyo $5-6 bln ni wengine! He should take that to the bank! Na soon the information itakuwa online na nitaweka details humu!

Wacha ujinga Bwn Tony254
Ujinga upi? Wapi nimesema hio $6 billion yote itatolewa na Equity bank? Sasa matusi ni ya nini? Upo very immature.
 
Hua mnajipiganga kifua hapa na mnakopa hadi kwa Equity., naona tuki ikamata dreamliner yenu mkishindwa kulipa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu
 
Back
Top Bottom