Huo ni wa CCM.. mama anaongelea vya serikal.. ndo mana hajautambua wa mwanza..Mwanza kuna uwanja unahitaji Modernisation tu! Hakuhitaji uwanja mpya mikoa mingine ipate fursa nayo!
Huo ni wa CCM.. mama anaongelea vya serikal.. ndo mana hajautambua wa mwanza..Mwanza kuna uwanja unahitaji Modernisation tu! Hakuhitaji uwanja mpya mikoa mingine ipate fursa nayo!
Blessed Tanzania ndani ya wilaya ya Bunda mkoani Mara 👇.. View attachment 2246464View attachment 2246465View attachment 2246468jamaa zetu wa north vitu kama hiv huko ndani ndani kwao wanavionaga tu kwenye Tv 😂😂😂 yani kwao kula matunda ni utajiri.. wazembe sana hawa wakunya, hawawezi kuzalisha hata chakula chao wenyewe
😂 😂 😂 😂 😂 😂Matunda yanatamanisha, huu ndio uzuri wa Tanzania tunaouhubiri humu ndani.
Hata kama CCM inaweza kuingia patnership na serikali msilete u-sukumagang kila kitu kijengwe Mwanza! Majiji Tanzania yako mengi hayana viwanja vikubwa Tanga, Dodoma, Arusha, Mbeya hata Morogoro papewe priority zaidi! Nyie mmejengewa mpaka Bus terminals mbili hata Dar yenye over 5 mln inhabitants haina!Huo ni wa CCM.. mama anaongelea vya serikal.. ndo mana hajautambua wa mwanza..
Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asijenge huko majiji mengine kwa hio partnership..Hata kama CCM inaweza kuingia patnership na serikali msilete u-sukumagang kila kitu kijengwe Mwanza! Majiji Tanzania yako mengi hayana viwanja vikubwa Tanga, Dodoma, Arusha na Mbeya!
ati longest dual carriage in East and central Africa? How about Dodoma 110 km ring road? Wacha upumbavu! kwenye reli, meli na ndege hamtugusi hata kidogo!
And the economy is rebounding fast, what makes me know, the company am in we made sales ya Kshs3 billion (Gross) in two months!!., and we sell locally., we had to pay workers incentives for motivation for the two months, wenyewe we were even shocked!.., Jana central bank have projected a 7.1% growth of the economy if u watched business news., kama unataka ku invest it is now!!joto la jiwe najua wivu itakuuwa. Rais Uhuru amesema kwamba mwaka wa 2021, Kenya ilipokea remittance ya zaidi ya ksh 400 billion.
Yeah Kenya is on the move.And the economy is rebounding fast, what makes me know, the company am in we made sales ya Kshs3 billion (Gross) in two months!!., and we sell locally., we had to pay workers incentives for motivation for the two months, wenyewe we were even shocked!.., Jana central bank have projected a 7.1% growth., kama unataka ku invest it is now!!
Msitake tufanane, hatupo sawa... Hii barabara yote ipo under construction, BRT lanes. Ime fumuliwa yote.Raw sewage ndani ya Dar CBD nje ya offisi ya mkuu wa mkoa.![]()
![]()
![]()
![]()
Mwanza haiitaji uwanja mpya mzee usidhani kila kitu kipelekwe Mwanza tu? kwani hii nchi ni ya wasukuma wa Mwanza tu? Majiji mbona yapo mengi? CCM Kirumba inaweza kuwa modernized na ikatoa international standard stadium!Huyu jamaa bana, hoja ni ya kawaida tu.. ila unaingiza eti sukumagang.. hio partnership, chadema watakubali? Si watasema serikal inatoa hela CCM kwa ajili ya uchaguz.. sio kila kitu sukumagang 😂.. so kiufup mama hataki hizo lawama.. mbona dodoma ina jamhur (ccm) na inajengwa mwingine? arusha mbeya zote zina stadia za ccm .. kwann asiingie huko kwa hio partnership..
Mbona unalia sasa,Msitake tufanane, hatupo sawa... Hii barabara yote ipo under construction, BRT lanes. Ime fumuliwa yote.
Tanzania hatuna uchafu wa Kenya aisee...
View attachment 2247068View attachment 2247069View attachment 2247070View attachment 2247071
Hapo hujadanganya. Only 9,000km of roads are paved in Tanzania.Ni maumivu kuona kanchi kadogo kama Kenya kakiwa na km nyingi ya paved roads kuliko bonge la nchi Tanzania, ni aibu sana, alafu total road network and connectivity in Africa ni SA pekee is ahead of Kenya, najua hili mtapinga kama ilivyo kawaida yenu.., na unataka kujilinganisha na sisi., nyie bado mko porini tukilinganisha bana, yaani ata Kenya ikibakia na 13,000km in relation to its size, it will still be ahead of Tanzania on average, nyie ni below 15,000km na hiyo size yoote ya nchi! 😂 😂 😂 😂 😂 ..,
View attachment 2247056
Wivu au reality? Nakuhakikishia lazma watu wagome! Jiji halina hata timu ligi kuu! Uwanja wa nn? Si bora uende Morogoro!!Mwanza ipo Tanzania (2nd biggest city in Tanzania), haipo kenya wala uganda.. kukihitajika uwanja mwingine wa serikal.. serikali itajenga.. wivu kwa mwanza au sijui kwa wasukuma (mim sio msukuma) peleka kwenu.. huyu jamaa vip 🤣
Lol. Little information as usual.
84 km inayojengwa sasa hivi ni extension ya Nairobi - Thika - Kenol superhighway/dual carriage.
The total uninterrupted dual carriage will be over 150km in length.
Alafu hio yenu ya Dodoma is just a ring road surrounding the town.
And its about the same length as Nairobi's ring road network (better known as the bypasses).
The Nairobi Western, Northern, Eastern, and Southern bypasses are all complete, and they form the same type of ring like your proposed Dodoma road.
View attachment 2247061
Western bypass is the last to be completed, and it should be ready in a couple of weeks.
Utaki uambiwe ukweli? Mmeleta hoja zenu za kuokoteza, mmejibiwa.Mbona unalia sasa,
Mwanangu itunze hii picha vizuri sana, ipo Siku itafaaRaw sewage ndani ya Dar CBD nje ya offisi ya mkuu wa mkoa. 🤣 🤣 🤣 🤣
![]()