Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi umesahau kuna 8lane dongokundu bypass na chaani-changamwe course way.! ama nikuoneshe

hapa yote mombasani masera wangu, ila usikonde.. utazoea tu.
kenya wachana nayo kabisa.!! sio ligi yenu.

nadhan bado unakumbuka hii report hapa ya imf2022👇🏽 View attachment 2251763View attachment 2251807
View attachment 2251758View attachment 2251760View attachment 2251756View attachment 2251757View attachment 2251759View attachment 2251762
Nakuambia ni mtu mjinga tu anayeweza kulinganisha Mombasa na Mwanza. Ona hizo barabara high class za Mombasa halafu ulinganishe na zile vichekesho vya Mwanza.
 
😃😃😃😃
Is Oysterbay the best neighborhood in Dar?

🤣🤣🤣

Umecheka eeh? Yani kamji kadogo kama Kakamega kana Estate ya kutoa hii upuzi jasho na eti hiyo ndio baba yao hapo Dar. Eti top Estate yet the only thing anaonyesha ni barabara.
Utanionyesha nini, neighbor hood gani kali yenye level za osterbey we jamaa zaidi ya hizo apartments .? Au utaonyesha Karen yenye vumbi kila mahali.?
 
The biggest SGR control center in East and Central Africa is in Tanzania.

The longest SGR railway line in Africa is in Tanzania.

The biggest hydro power dam in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest ship in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest market in East and Central Africa is in Tanzania called Kariakoo market.

The modern public transport in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern Airports in East and Central Africa are in Tanzania.

The most busiest airport in East and Central Africa is in Tanzania.

The one and only 3 level interchange in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern bus terminals in East and Central Africa are found in Tanzania.

The busiest port in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest football stadium in East and Central Africa is in Tanzania.

The biggest and modern Arenas in East and Central Africa will be found in Tanzania soon.

The longest and modern dual carriage ring road will be found in Tanzania soon.

Na bado kuna mambo mengi sijayaweka hapa, so mtu anayetaka kushindana na Tz kwanza ajipime kwenye hayo mambo aone kama nchi yake inatosha?
Hii superlative ya the best, biggest or top in East and Central Africa tuliwaachia. Kenya sikuizi inacheza ligi ya the best in Africa.
 
Utanionyesha nini, neighbor hood gani kali yenye level za osterbey we jamaa zaidi ya hizo apartments .? Au utaonyesha Karen yenye vumbi kila mahali.?
You have to be high on something illegal to compare Karen to that middle class neighborhood you call Oysterbay.
 
Nakuambia ni mtu mjinga tu anayeweza kulinganisha Mombasa na Mwanza. Ona hizo barabara high class za Mombasa halafu ulinganishe na zile vichekesho vya Mwanza.
Wacha kujiongopea we jamaa nani kakwambia maendeleo ni barabara tu.? Mombasa haifui dafu mbele ya Mwanza, utake ni hivyo, usitake ndio hivyo, huwez linganisha mji wa wakazi wazembe na maskini vs mji wa wachapa kazi, kando ya bandari Mombasa is nothing to Mwanza
 
You have to be high on something illegal to compare Karen to that middle class neighborhood you call Oysterbay.
Wacha kuchekesha jamii we famba, weka hiyo Karen, uone kama inatoboa mbele osterbey,narudia tena Osterbey ni neighborhood kali kuliko yeyote hapo kwenu... neighbor hood za hapo kwenu ni vumbi mtindo mmoja
 
Last week nlienda Mbeya ni kweli japo kuna kitu huwa sielewi, kuna wakati nlifanya booking ya Dodoma yaani kwenye website naona last 1 seat kwa economy class ila after check in unakuta cabin in seat kibao empty ,
Kuna some politics kwenye shirika and if this isn’t taken care of italigharimu shirika,
Again gharama ya ticket ya mbeya is way too expensive. Wakati wa fastjet nakumbuka nlikuwa natumia less than 200k return , now with atcl ni zaidi ya 400k . This is quite expensive kwa domestic trip tena ya lisaa.
Oyaa game over kumbe kwenu nyumbani ni Mbeya? Dadeeki. 😂 😁😅😆
Unatokea mkoa ambapo watu wanazindulia lift kwa mbwembwe na shamra shamra ya kukata na shoka. Lift ya kwanza kuzinduliwa mkoani Mbeya ulizinduliwa 2014 kwa sherehe kubwa sana. Kuku na mbuzi walichinjwa.

hab1.jpg
Untitled-1.jpg
404dc5104ea035ce5f0745ea1f9c72f2.jpg
794541cb933ad2f7a8255fa492cf3a87.jpg

Huyu ni jirani wa game over 👇👇👇
c601b8e55387b081c095d583e9f23e8e.jpg
 
Wacha kujiongopea we jamaa nani kakwambia maendeleo ni barabara tu.? Mombasa haifui dafu mbele ya Mwanza, utake ni hivyo, usitake ndio hivyo, huwez linganisha mji wa wakazi wazembe na maskini vs mji wa wachapa kazi, kando ya bandari Mombasa is nothing to Mwanza
Sio bandari tu, Mombasa imeishinda Mwanza kwa mbali kwenye quality ya mabarabara. Hata kwenye skyscrapers Mombasa ina majengo marefu mengi. Hata kwenye idadi ya dollar millionaires Mombasa imeishinda Mwanza.
 
Aawapii! Unajua Mwanza ina mamilionea wangapi kutokana na shughuli za uchimbaji madini na uvuvi? Mbona basi Mwanza ina watu binafsi wenye meli kubwa na kampuni za uundaji meli kuliko Mombasa?

Pia nawapongeza Wakunya kwa hii control center yenu ya diesel SGR japo sioni umuhimu wa mtungi wa chang'aa kukuwa na control center mixa window 7 nini. Look here every body, the most modern SGR control center in Africa (wamesema wao cku hz wana vitu bora Afrika nzima)
tapatalk_-1500832842_720x518.jpg
 
Back
Top Bottom