Nilikwambia
Tony254 hawa wanakuchukia sn vile hauko biased, umeona ss amekutusi live wala hajapepesa macho, alitaka na wewe uwe na blind patriotism yn usisifie kitu ambacho Kenya inawish kuwa nacho ambacho Tz kipo.
Wanataka useme SGR ya Kenya ni better kuliko SGR ya Tz.
Wanataka useme public transport ya Kenya ni better kuliko ya Tz.
Wanataka useme Kenya iko juu ya Tz kwenye madaraja.
Wanataka useme Kenya kuna access to clean water kubwa kuliko Tz.
Wanataka useme Kenya inailisha Tz.
Wanataka useme inflation rate ya Kenya ipo chini kuliko ya Tz.
Wanataka useme Kenya kuna Amani kuliko Tz.
Wanataka useme Kenya kuna viwanja vingi vya ndege kuliko Tz.
Wanataka useme hakuna highway Tz.
Wanataka ukatae kwamba Tz ya sasa imeamka na ni untouchable.
Wanataka useme Dar port co most efficient kwa sasa in the region licha ya reputable bodies ku claim hivyo.
Yani hawa jamaa zako hawataki uwe free, roho inawauma wanapoona Watz tunakupa credit ya the one and only wise Kenyan in this forum. Wajinga sana hawa watu, wana akili za Wakenya wa zamani sn.