Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

LR showroom ipo Tz kabla wewe hujazaliwa.
Mtoto mdogo hawezijua! Karemjee showroom ipo tangu 1927!

 
Mtoto mdogo hawezijua! Karemjee showroom ipo tangu 1927!

As usual kahamisha goli anasema hawauzi LR peke yake! Kituko hiki
 
This man is the only person among you who can at least make sense in his posts, the rest of you are super stupid

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I see no Kenyan here who is pea-brained enough to match your level of doltishness, that's why I'm surprised Tony254 is wasting his time on you. Did you learn what GDP is? Focus on that rather than jumping into every discussion you know nothing about.
 
Mbona Russia, superpower wako imeshindwa kuiteka Donbas siku 100 baada ya vita kuanza? Naelewa imeshindwa kuiteka Kyiv au Kharkiv kwa sababu hizo ni miji mikubwa lakini mbona kamji kadogo kama Severodonetsk imeishinda Superpower? Hii ni maajabu. Russia ni superpower wa kwenye makaratasi.
Vita ngumu sana hata US Iraq, Afghanistan hawakwenda peke yao . Pia Russia yupo makini hii vita lazima upigane kimahesabu maana NATO kama wanaivia Russia ndio maana wanawapa siraha na mercenaries ukraine hili kuwadhofisha Russia . All in all vita ni mbaya sana , mfumuko wa bei unamkua mkubwa kwenye mataifa ya dunia ya tatu
 
Inflation sio kwamba ni mbaya wakati wote. Inflation rate ya juu ndio mbaya. Negative inflation pia ni mbaya. Lakini positive inflation rate ya chini ambayo ni stable is preferred kwa sababu ina manufaa kwa uchumi.
Positive Inflation rate nzr ni ile ambayo haizidi 5% sasa hebu tuambie Inflation rate ya Kunyaland imefika ngp ili tuone umuhimu wa remittance kwenye uchumi wa Kunyaland.
 
Wtf?! Kwahio nikitaka brand new LR RR au Jaguar sipati?
Hupati ng'oo, Utangoja itoke Kenya kwa official distributor wa East Africa. Inchcape Kenya. Bongo hamna hata official JLR website kama hii ya Kenya below.

1654448256726.png
 
Kwa sasa kenya ipo kwenye vicious cycle of hyperinflation(6.47) and falling currency, thnks to your endless and baseless borrowing plus poor policies on inflation
Wewe unajua hyper-inflation ni nini? Usitumie maneno usiyoyaelewa.
 
tuusan njoo tuchambue hii latest statistics. Najua unapenda hivi vitu kama mimi. Kenya ni ya tatu kwa kupokea remittance in Sub-Saharan Africa. Tanzania haipo top 10. Inapigwa na nchi ndogo kama Togo. Hivi niulize, ni kwa nini Tanzania ina diaspora population ndogo? Kwa nini huwa hampendi kutembea nje ya nchi yenu?


  1. Nigeria: $19.2 billion
  2. Ghana: $4.5 billion
  3. Kenya: $3.7 billion
  4. Senegal: $2.7 billion
  5. Zimbabwe: $2.0 billion
  6. Democratic Republic of Congo: $1.3 billion
  7. Uganda: $1.1 billion
  8. Mali: $1.1 billion
  9. South Africa: $900 million
  10. Togo: $700 million

Hapa remittance imejidhihirisha ni kipimo cha ugumu wa maisha katika nchi.
 
Hii ni mbaya kwa uchumi wa nchi na ndicho alichosema joto kwamba mara nyingi remittance zinafanya gharama za maisha kupanda maradufu.
Wewe unajua inflation target ya Kenya ni ngapi? Yaani Kenya huwa inataka inflation yake iwe ngapi?
 
Hapa remittance imejidhihirisha ni kipimo cha ugumu wa maisha katika nchi.
Remittance inaweka chakula mezani katika maelfu ya majumba hapa kenya. Remittance inalipia maelfu ya wanafunzi school fees. Remittance inanunua maelfu ya viwanja na kujenga maelfu ya majumba. Kuna zaidi ya Wakenya milioni moja wanaofanya kazi nje ya nchi.
 
Nimekutana na hii maneno kule twitter
Yani ni noma mkuu, hizo A220 zinapiga mzigo kupita maelezo, linaweza likatua sahizi kutoka Hahaya Comoro zen linasafishwa linaelekea mwanza liko full, huku lingine linapakia linaenda Lusaka Harare na lingine Ndola Lubumbashi both at par, hizo Q400 ndio balaa zinazajaza mpk basi, hiyo comment ya jamaa nilitaka niitoe mm leo kwa kuweka picha ya terminal 2 na ku comment "tofauti ya stendi za daladala na airport ni nn?" Nashangaa kumbe kuna mwamba twitter naye kaliona hilo, wakuu Magufuli asamehewe makosa yake hapa duniani mana inawezekana alifanya kosa lkn hakukusudia ilikuwa ni kwa faida ya Taifa na Watz kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom