Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Inflation yenu kwa sasa ni ngapi? Before uconcludeInflation sio kwamba ni mbaya wakati wote. Inflation rate ya juu ndio mbaya. Negative inflation pia ni mbaya. Lakini positive inflation rate ya chini ambayo ni stable is preferred kwa sababu ina manufaa kwa uchumi.
