Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vita ngumu sana hata US Iraq, Afghanistan hawakwenda peke yao . Pia Russia yupo makini hii vita lazima upigane kimahesabu maana NATO kama wanaivia Russia ndio maana wanawapa siraha na mercenaries ukraine hili kuwadhofisha Russia . All in all vita ni mbaya sana , mfumuko wa bei unamkua mkubwa kwenye mataifa ya dunia ya tatu
Sasa kila mtu anajua vita ni mbaya na hakuna mshindi katika vita. Sasa ni shetani mgani alimuingia Putin na kumshauri kutuma majeshi yake Ukraine? Advisors wake walimdanganya kwamba ushindi ungepatikana virahisi kwa sababu Ukraine watasurrender kama vile walivyosurrender 2014 wakati Russia ilinyakua Crimea na Ukraine hawakupigana kwa sababu jeshi lao lilikuwa hafifu. Kisha hio hio 2014 Putin hakutosheka na Crimea, aliamua kuiba Donbas ambayo ni eneo la mikoa miwili ya Ukraine Luhansk na Donetsk. Putin hakufaulu kuiba Donbas yote bali alifaulu kuiba nusu tu ya Donbas. Sasa kuanzia 2014 hadi sasa jeshi la Ukraine lilipata mafunzo na silaha mpya kutoka USA na UK. Jeshi hili la Ukraine la 2022 ni highly trained ukiilinganisha na ile jeshi la awali la 2014 ambalo lilishindwa vita. Putin alidhani ataiteka Kyiv ndani ya muda mchache lakini alishindwa kufanya hivyo. Putin ataendela na vita kwa sababu hawezi kusitisha vita kwa sababu ya aibu na ataendelea hadi apate ushindi au majeshi yake yaangamizwe.
 
Hupati ng'oo, Utangoja itoke Kenya kwa official distributor wa East Africa. Inchcape Kenya. Bongo hamna hata official JLR website kama hii ya Kenya below.

View attachment 2251529
Huyu jamaa mada zake cheap cheap sana ingia kwny hiyo website inayonekana hapo juu peruzi utakavyo ukiridhika ulale!!!We unafikiri investment yake ni kama kuanzisha kiwanda, just a showroom.
Screenshot_20220605-201951_1.jpg
 
Remittance inaweka chakula mezani katika maelfu ya majumba hapa kenya. Remittance inalipia maelfu ya wanafunzi school fees. Remittance inanunua maelfu ya viwanja na kujenga maelfu ya majumba. Kuna zaidi ya Wakenya milioni moja wanaofanya kazi nje ya nchi.
Wakenya milioni moja wanafanya kazi nje ya Kenya, how about those remained 57milion kenyans who don't have diaspora relatives? Wanapata wapi pesa za kujikimu? Hao Wakunya wachache wanaonufaika na remittance ndio wanaoharibu uchumi wa Kunyaland.
 
Wewe unajua inflation target ya Kenya ni ngapi? Yaani Kenya huwa inataka inflation yake iwe ngapi?
Mm congelei habari za Kunyaland kutaka inflation iwe ngp bali nazungumzia theories za uchumi zinataka rate iwe ngp kwa uchumi imara.
 
I see no Kenyan here who is pea-brained enough to match your level of doltishness, that's why I'm surprised Tony254 is wasting his time on you. Did you learn what GDP is? Focus on that rather than jumping into every discussion you know nothing about.
Tony254 kwann unamuacha huyu mbwa akupande kichwani kwa kukupangia what to say and what not to say?
 
Wakenya milioni moja wanafanya kazi nje ya Kenya, how about those remained 57milion kenyans who don't have diaspora relatives? Wanapata wapi pesa za kujikimu? Hao Wakunya wachache wanaonufaika na remittance ndio wanaoharibu uchumi wa Kunyaland.
Hao Wakenya milioni moja kwani hawana watoto waliowaacha nyumbani? Hawana wazazi na ndugu na dada? Kwani wanatumia nani remittance kama sio familia zao?
 
Hao Wakenya milioni moja kwani hawana watoto waliowaacha nyumbani? Hawana wazazi na ndugu na dada? Kwani wanatumia nani remittance kama sio familia zao?
Na ndiyo maana inflation rate yenu imefika 7.1% which is terrible to ur struggling economy.
 
Back
Top Bottom