The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Wivu utakupeleka kaburini aliko yule Shetani wenu Mwendazake.She just autopilot, ceremonial, powerless.. hana maamuz yake kamili.. mwenye remote yuko Msoga anawacheck tu 😅
Wivu utakupeleka kaburini aliko yule Shetani wenu Mwendazake.She just autopilot, ceremonial, powerless.. hana maamuz yake kamili.. mwenye remote yuko Msoga anawacheck tu 😅
Yaani mtu apate income in form of remittances afu asitozwe PAYE?Katika hili ninaungana na wewe, Jambo Moja unapaswa na wewe kukubali kwamba, mapato yatokanayo na uzalishaji wa ndani, huwa serikali inapata Kodi, lakini serikali haitozi Kodi kwa pesa inayoingizwa nchini Kama "remittances", zaidi ya gharama za kutuma na kutolea pesa, kwasababu remittances sio matokeo ya "goods and services produced domestically"(GDP)[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio FDI bali ni forexKwahiyo "remittances" sio sehemu ya FDI[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Andika kiswahili,lugha ya malkia huijui..She just autopilot, ceremonial, powerless.. hana maamuz yake kamili.. mwenye remote yuko Msoga anawacheck tu 😅
Mchina muhuni hiyo control center ya kwanza pc zinarun windows 7 , siamini macho yanguThese are the two SGR control centers in East African Community countries. Discuss.View attachment 2251177View attachment 2251178
Kenya watu wanangoja ziingie kwa showroom wanunue hapo, that's why tukona showroom za brand new luxury cars while nyinyi hamna, munategemea imports ju your economy is very informal. Muna pata customer mmoja inakua breaking news. 🤣 🤣 🤣 🤣Kunyaland hii gari itafika 2040, used from Tanzania
Tukiwaambia Tanzania kwenye ndinga tupo mbele wanazira 😂😂😂
View attachment 2251155
Sasa mbona ulikua unakataa?, Kwahiyo huwezi kulinganisha Kati ya mapato yanayopatukana kutokana na dhahabu na" remittances", kwasababu remittances haziingii katika mapato ya serikali Moja kwa Moja.Ndio sio sehemu ya FDI. Lakini remittance ina umuhimu mkubwa katika kujenga uchumi husika.
This man is the only person among you who can at least make sense in his posts, the rest of you are super stupidHow do you manage to tolerate arguing with guys like this?
Chuma cha kwendaUtalii naona unapamba moto..hii iko safii
Utalii naona unapamba moto..hii iko safii
Ngoma inanusa 600M kasoro kidogo ukiweka na kodiKunyaland hii gari itafika 2040, used from Tanzania
Tukiwaambia Tanzania kwenye ndinga tupo mbele wanazira [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2251155
Hehee wap nimekosea? Kutoandika 'she is just'??? Au nn 🤣🤣 ..Mungu wangu, eti someone trying to teach me english 😆Andika kiswahili,lugha ya malkia huijui..
Hii tuu inaonyesha ulivyojaa mauji kichwani.
Huyu jamaa ni mpuuzi eti anadai revenue ya GOT ina-involve revenue ya makampuni! Ni sawa tuseme revenue ya chai pale kunyaland ina-involve revenue ya makampuni ya chai!Usichojua the GoT inapata 60% ya all mining proceeds kwenye migodi through corporate tax 30% free carried share 16 -34%, royalties 6%, skill development levy 3% jumlisha hizo zote unapata percentage ya hela inayoenda serikalini out of total proceeds from the mining projects. Na hapo sijahesabia PAYE ikiwa ni pamoja na other miscellaneous income kwenye category nyingine kama CSR 5%
Inflation sio kwamba ni mbaya wakati wote. Inflation rate ya juu ndio mbaya. Negative inflation pia ni mbaya. Lakini positive inflation rate ya chini ambayo ni stable is preferred kwa sababu ina manufaa kwa uchumi.Sasa mbona ulikua unakataa?, Kwahiyo huwezi kulinganisha Kati ya mapato yanayopatukana kutokana na dhahabu na" remittances", kwasababu remittances haziingii katika mapato ya serikali Moja kwa Moja.
Remittances Zina faida na hasara katika uchumi wa nchi, kweli remittances zinafaida kubwa kwa watu wanaozipokea "Primary recipients", kwasababu watazitumia kulipia "bills" zao, lakini katika uchumi wa nchi, sehemu kubwa ya hizo pesa zinaenda kununua "goods and services", hii maana yake ni kwamba kunakua na demand kubwa kuliko supply, lazima inflation itaongezeka muda wote, watu ambao hawana ndugu wa kuwatumia hizo remittances watalazimika kununua bidhaa kwa Bei ya juu jambo ambalo hawatoweza wataishi maisha magumu Sana, ndicho kinachoendelea Kenya na Nigeria.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hio $3.5 billion sio yote inakwenda kwa GoT. Hata ukilia damu haitobadilisha huo ukweli. Revenue ya chai Kenya inainvolve revenue ya makampuni pamoja na revevenue ya serikali. Utaniambiaje kwamba total Tea sales au total mineral sales yote inakwenda kwa serikali? Unless wewe ni mjinga huelewi maana ya neno tea sales au mineral sales.Huyu jamaa ni mpuuzi eti anadai revenue ya GOT ina-involve revenue ya makampuni! Ni sawa tuseme revenue ya chai pale kunyaland ina-involve revenue ya makampuni ya chai!
Wewe unaona kusema she just autopilot ni Kingereza sahihi?Hehee wap nimekosea? Kutoandika 'she is just'??? Au nn 🤣🤣 ..Mungu wangu, eti someone trying to teach me english 😆
Wew ndo hujielew.. I did write it purposely!
Afu kinachokuwasha ni nn? Magu anasemwa anaua watu,anapora hela, watu wa(tu)po kimya.. mama akisemwa the same way unajiangaisha kuqoute watu! Ni nn shida? Pole sana. Na ataendelea kusemwa anapofeli
Huyu jamaa ni mwamba aisee , bado yanki sanaa ila packing lot iko na billions[emoji41][emoji41]The same guy
Hahahhaha mkuuu umezoom[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Mchina muhuni hiyo control center ya kwanza pc zinarun windows 7 , siamini macho yangu