Usichojua the GoT inapata 60% ya all mining proceeds kwenye migodi through corporate tax 30% free carried share 16 -34%, royalties 6%, skill development levy 3% jumlisha hizo zote unapata percentage ya hela inayoenda serikalini out of total proceeds from the mining projects. Na hapo sijahesabia PAYE ikiwa ni pamoja na other miscellaneous income kwenye category nyingine kama CSR 5%GoT does not get $3.5 billion. $3.5 billion ni mauzo (sales) ya madini. Wewe endelea kupingana na waziri wenu wa madini.
dar na nairobaa mbingu na ardhi..
at the cbd of dar-es-salaam city.!
street level😆View attachment 2250716View attachment 2250717View attachment 2250718
VS
at the cbd of nairobi city.!🔥
street level View attachment 2250721View attachment 2250730View attachment 2250731View attachment 2250727View attachment 2250720
i still remember vividly, some years back, a BBC reporter complementing nairobi street level as being comparable only to those of south africa's major cities
am talking of uptown, and not downtown my broda. dar pics depicted above is actually uptown itself.!😆
ama ufanye hivi.. toa the best pics ya dar's uptown pia tuone basi
Hivi ule mwenge waliutoa? Na kwnn waliutoa eti?What a beauty
View attachment 2250909
Hamna lolote nyie. Total revenue from the sale of all the minerals ni $3.6 billion in 2021. Hii ni kulingana na Doto Biteko waziri wenu wa madini. Hii $3.6 billion sio dhahabu pekee bali ni kila aina ya madini. Halafu nimetazama hio video yako tena. Kumbe hio video yako inasema kwamba Tanzania ilipokea $3.5 billion from the sale of all types of minerals sio dhahabu pekee. Aisee tuusan hio $3.5 billion sio ya dhahabu pekee bali ni ya minerals zenu zote. Sikiliza hii video vizuri na usome article mahali nimekoleza kwa rangi nyekundu.
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister
Source: Xinhua| 2022-03-11 00:19:43|
DAR ES SALAAM, March 10 (Xinhua) -- Tanzania's mining sector contribution to the national economy increased to 7.3 percent in 2021 from 6.5 percent recorded in 2020, an official said on Thursday.
Doto Biteko, the east African nation's Minister for Minerals, said the government's projection is to see the mining sector contributes 10 percent to the national economy by 2025 but this could be realized much earlier.
Biteko told a press conference in the capital Dodoma that the mining sector made history in the past one year when mineral sales reached 8.3 trillion Tanzanian shillings (about 3.6 billion U.S. dollars and the government collected 597.53 billion Tanzanian shillings in taxes and royalties.
Biteko said Tanzanians' participation in the mining sector services increased from 43 percent to 63 percent when mining services collections were 579.3 million U.S. dollars.
He attributed achievements in the mining sector to reforms undertaken under the administration of President Samia Suluhu Hassan, including the improvement of mining conditions for artisanal miners who contributed to 30 percent of mining activities in the country.
Biteko said the reforms have led to the creation of at least 44 gold trading centers and 70 other minerals trading centers across the country which have helped to stop smuggling of minerals outside the country. ■
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister
Tanzania records steady growth in mining sector in 2021: minister-english.news.cn
Cc chongchung Geza Ulole
Kwa tafsiri yako ni kwamba bwana Tony254 hana akili c ndio?How do you manage to tolerate arguing with guys like this?
Waarabu wameshafanya yao
Range ya 2022...kweli keshi ipoo
She just autopilot, ceremonial, powerless.. hana maamuz yake kamili.. mwenye remote yuko Msoga anawacheck tu 😅Hii aibu sana,mama aangalie washauri wake waliomzunguka
Waache waendeleee kulialia mitandaoni huku Katavi vijana tunapiga pesa kimya kimya na kilimo cha mpunga huku banks zikitusapoti kwa mikopo nafuu ya pembejeo.👇Kiongozi jaribu kilimo mbona vijana mnakiogopa. Huku hakuna kodi wala mama yake tiaraei ni pesa tuu kwa kwenda mbele. Unaweza ukawa na kazi yako weekend unaenda kushinda Shamba unarudi j2 jioni.
Katika kikao cha bunge, mbele ya rais Samia, Waziri wa madini Doto Biteko amesema kwamba mapato (sales) ya dhahabu ni Tsh 8.1 trillion. Pia amesema kwamba lengo la makusanyo la wizara ya madini ni Tsh 600 billion kwa mwaka. Sikiliza kutoka dakika 2:57.
Ninamnukuu Waziri Biteko.
"Makusanyo baada ya wewe kuingia kwenye ofisi yameongezeka sana. Tulikuwa tunakusanya, na mauzo yote ya dhahabu nchi nzima ni ya trillioni nane nukta moja tisa. Lakini kwa miezi sita pekee toka umekuja, mheshimiwa tumeshafanya mauzo ya trilioni nne na milioni mia saba arubaini. Kiasi kwamba mheshimiwa rais hatuna wasiwasi, lengo tuliyowekewa la kukusanya bilioni mia sita kwa mwaka kutoka bilioni mia tano themanini tulikuwa tumepangiwa tutalivuka kwa sababu mheshimiwa raisi wewe umeweka msukumo mkubwa sana kwenye miradi hii ya maendeleo."
Sasa nyie watatu mkipinga maneno ya waziri wenu aliyoyasema mbele ya rais wenu mtakuwa wajinga kweli.
chongchung The best 007 coodip1 Lengo la makusanyo la wizara ya madini kwa mwaka ni Tsh 600 billion. Kwa hivyo muwache huo upuuzi wenu wa kusema kwamba mauzo yote ya madini ya $3.6 billion inakwenda GoT.
Kwa hiyo maduhuli ndio mapato ya pekee ya Madini?Hii nimeipata katika website ya wizara yenu ya madini. 👇 👇
Ukusanyaji wa Maduhuli Sekta ya Madini Wafikia Asilimia 91.9
Tarehe : April 28, 2021, 12:51 p.m.
![]()
Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai, 2020 hadi Aprili, 28 mwaka huu Tume ya Madini imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 484.435 ambayo ni sawa na asilimia 91.97 ya lengo la ukusanyaji wa maduhuli ya kiasi cha shilingi bilioni 526.722 kwa mwaka wa fedha 2020-2021.
- Ni katika kipindi cha Julai 2020 hadi Aprili 2021, mwaka wa fedha 2020-2021
- Ni kutokana na usimamizi makini wa Wizara ya Madini
Profesa Kikula ameyasema hayo leo tarehe 28 Aprili, 2021 jijini Dodoma kwenye kikao kazi kilichoshirikisha Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa chenye lengo la kujadili changamoto za utendaji kazi na kuweka mikakati ya ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2021-2021 ambapo Tume ya Madini imepangiwa kukusanya lengo la shilingi bilioni 650.
Alisema kuwa siri ya kasi nzuri ya ukusanyaji wa maduhuli inatokana na msaada mkubwa kutoka Wizara ya Madini na ushirikiano kutoka kwa Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa na kuendelea kuwataka maafisa madini wakazi wa mikoa kuendelea kuwa wabunifu kwenye ukusanyaji wa maduhuli.
Katika hatua nyingine alisema kuwa ili kuweza kufikia lengo la ukusanyaji kwa mwaka wa fedha 2021-2022 mbali na kuweka mikakati mbalimbali ya ukusanyaji wa maduhuli, amewataka watumishi wa Tume ya Madini kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na kuunganisha nguvu huku wakiwa wazelendo.
“Mfahamu ya kuwa macho yetu yote yapo kwa maafisa madini wakazi wa mikoa hususan kwenye ukusanyaji wa maduhuli ili mchango wa sekta ya madini kwenye pato la taifa uweze kufikia asilimia 10 ifikapo mwaka 2025,” amesema Profesa Kikula
Kwa wale wanaoshangaa neno maduhuli lina maana gani, maduhuli ni sawa na mapato.
View attachment 2250713
chongchung The best 007 coodip1 kama ilivyoandikwa kwenye tovuti la wizara yenu ya madini, lengo la ukusanyaji la wizara ya madini wa mwaka 2020-2021 ni Tsh 526 billion. Mtapinga pia hili?