Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Mimi nipo hapa kutuliza akili. Sipo hapa kuleta ugomvi. Mimi huja JF kutuliza akili hususan nikiwa ofisini na vitabu vimekataa kubalance huwa nakuja hapa kutoa stress. Kama kuna mtu ana tatizo na JF basi mimi sina tatizo na JF.Tony254 kwann unamuacha huyu mbwa akupande kichwani kwa kukupangia what to say and what not to say?