Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya watu wanangoja ziingie kwa showroom wanunue hapo, that's why tukona showroom za brand new luxury cars while nyinyi hamna, munategemea imports ju your economy is very informal. Muna pata customer mmoja inakua breaking news.
Nani kakuambia hakuna show room Tz tembea uone kijana
 
Kenya watu wanangoja ziingie kwa showroom wanunue hapo, that's why tukona showroom za brand new luxury cars while nyinyi hamna, munategemea imports ju your economy is very informal. Muna pata customer mmoja inakua breaking news. 🤣 🤣 🤣 🤣
LR showroom ipo Tz kabla wewe hujazaliwa.
 
Nani kakuambia hakuna show room Tz tembea uone kijana
Hamna showroom ya Jaguar Land Rover, munauziwa na CMC amabao wanauza bajaji na malorry. 🤣 🤣 🤣 Nionyeshe website ya Land Rover kama hii nifunge account sahii.

Russia sio super power.Super power hawekewi vikwazo kizembe zembe.Russia ana uchumi mzuri lakini sio super power.
NILIKUAMBIA KUWA WEWE HAUNA AKILI SASA HUU NI USHAHIDI VIKWAZO HATA TZ TUNAWEZA KUIWEKEA USA AU NCHI YOYOTE . Vikwazo ni pamoja na kususia na kukataa ushilikiano nk ...NATO IKIKATAA KUNUNUA BIDHAA URUSI NI VIKWAZO NA URUSI IKIKATAA KUNUNUA BIDHAA NATO NI VIKWAZO , hivyo ni vikwazo vya kususiana ila kuna aina ya vikwazo vya kibabe aina hiyo ya vikwazo tunawekewa nchi uchwara ni vikwazo vya mabavu kana no fly zone ,kuzuia biashara kwa namna ya mabavu , vikwazo vya namna hiyo uwezi kuviweka kwa russia
 
Hahaha. Bei ya mkate na vyakula vingine huko Turkey inaongezeka karibu mara dufu kila mwezi. Rais Erdogan ni mpumbavu sana. Wachumi wanaamini kwamba njia sahihi ya kupunguza inflation ni central bank kuongeza interest rate. Lakini Erdogan amekataa kufanya hivyo na badala yake ameamuru central bank ipunguze interest rate. Anapingana na wachumi, hataki kufuata advice ya wachumi. Sasa wanaoumia ni wananchi wa Turkey.
Huo ni ujinga ulio kidhiri, sababu inflation huletwa na over supply of money in the economy.
 
NILIKUAMBIA KUWA WEWE HAUNA AKILI SASA HUU NI USHAHIDI VIKWAZO HATA TZ TUNAWEZA KUIWEKEA USA AU NCHI YOYOTE . Vikwazo ni pamoja na kususia na kukataa ushilikiano nk ...NATO IKIKATAA KUNUNUA BIDHAA URUSI NI VIKWAZO NA URUSI IKIKATAA KUNUNUA BIDHAA NATO NI VIKWAZO , hivyo ni vikwazo vya kususiana ila kuna aina ya vikwazo vya kibabe aina hiyo ya vikwazo tunawekewa nchi uchwara ni vikwazo vya mabavu kana no fly zone ,kuzuia biashara kwa namna ya mabavu , vikwazo vya namna hiyo uwezi kuviweka kwa russia
Russia is a shithole with big landmass, nukes and natural resources.
 
Back
Top Bottom