Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha, nimesoma hakuna lolote limeandikwa kuhusu Universal health coverage katika hii link uliyoweka, zaidi inazungumzia Mambo tofauti tena ya zamani Sana 2011.

By the way, umeachana na maji na umerukia ya Afya?. Ngoja nikuelinishe kidogo, katika kulinganisha, lazima utumia "one source, and the same year. Wewe ulitumia UNICEF, ilipaswa kutumia hiyo hiyo kulinganisha Kenya na Tanzania, Sasa iweje tena unataka Mimi nitafute hiyo "Source" yako ya UNICEF wakati sijui wapi umeipata ili nikupe data za Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
I knew you got nothing under your sleeves. Just the usual empty talk. The data I shared about UHC ni ya 2019 na ni za nchi zote duniani. Hiyo 2011 unataja hapa labda umetoa makalioni
Screenshot_20220603-002914~2.png
Screenshot_20220603-002934~2.png

Ulitaka nisemeje tena kuhusu maji wakati data niliyoleta ya UNICEF you had already objected kama mnavyofanya kila siku?
 
Do not run away from the reality, that shows the way you lie yourselves

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So you want me to believe opinions of people online? Some of whom don't even know how data is compiled? So it's so easy for you to believe in opinions of people online but not in reputable data from respected bodies! See, that's desperation and ignorance combined!
 
Amehama kwenye maji kakimbilia kwenye afya baada ya kichapo kikali
Kichapo gani bongolala wakati umeshindwa hata kuleta data ya nchi yako kuhusu water accessibility? Are you going nuts? Leta data ya nchi yako ndo uje utoe povu dwanzi wewe
 
So you want me to believe opinions of people online? Some of whom don't even know how data is compiled? So it's so easy for you to believe in opinions of people online but not in reputable data from respected bodies! See, that's desperation and ignorance combined!
Can you challenge Dr. David Ndii?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Kenya’s plan to seize LPG logistics business from Tanzania​



THURSDAY JUNE 02 2022​

LPG truck

A truck ferrying liquid petroleum gas. There has been a snarl-up of trucks at the Kenya-Tanzania border town of Namanga following an impasse on clearing trucks. PHOTO | FILE | NMG

Summary

  • The LPG cost in Mombasa is much higher than in Dar es Salaam LPG because the offloading and storage infrastructure at Dar es Salaam or Tanga ports is more efficient.


The east African pic

By The East African
More by this Author

Kenya seeks to dominate in the supply of liquefied petroleum gas (LPG) by constructing the biggest import and storage gas facility in Mombasa and licensing more private companies to compete with Tanzania which has dominated the business for years in the region.

The announcement to construct a 25,000 tonnes storage facility by the Kenya Pipeline Company (KPC) which will connect to the Ksh42 billion new Kipevu Oil Terminal 2 (KOT) at the port of Mombasa comes few days after Kenya banned imports of gas from Tanzania through the Namanga border.

KPC has contracted a giant Pakistani firm; Petrochem Engineering Services to design LPG import and storage facility in Changamwe, Mombasa as five private companies apply to tap into the new Kipevu Oil Terminal 2.

The facility in Mombasa once completed will quicken the loading of cooking gas for distribution by trucks which will help to cut demurrage costs.

KPC says faster loading is expected to translate to lower prices for LPG by 30 percent once operational as oil marketing companies pass the benefits of reduced demurrage costs to consumers.

“LPG storage capacity in Mombasa is limited and huge demurrage is incurred by LPG ships thus affecting the final consumer price of bottled gas,” read part of KPC in tender documents.

“KPC proposes to install, commission and operate a 500 tonnes per day LPG truck loading facility which will enhance product evacuation and as such ease ullage constraints and subsequently reduce demurrage costs.”

Limited LPG storage capacity in Mombasa has meant that ships stay longer at the port, leading to higher demurrage costs which are then transferred to consumers thus paying high prices of bottled gas.

KPC currently receives imported LPG from ships berthed at the Shimanzi Oil Terminal and puts it into its tanks - T610 and T611 located within its Changamwe facility the product is then evacuated to local terminals through inter-connecting pipelines for truck loading and bottling respectively.

The lack of loading gantries for truck loading has been a challenge to gas companies and the facility once complete will allow companies to ferry gas in trucks which has proved to be economically viable.

With the completion of KOT2 with a capacity to connect different gas suppliers, the business which has been controlled by a few companies will end the monopoly as already five companies have applied to connect to the terminal at the port of Mombasa.

According to National Environment Management Authority (Nema) and Energy Regulatory Authority (ERC), more than five companies have applied to get license from to construct gas facilities.

Some of the companies which have applied for the license to tap in the submerged gas pipeline from KOT2 include Aevitas Investment, Mombasa Gas Terminal Limited (MGT), Lions Gate limited, Focus Container Freight Station and Mansa East Africa Limited.

Once licensed, they will cater for the untapped LPG market with the increasing population and demand in the country and in the East African region.

Kenya imports about 40 percent of gas annually from Tanzanian liquefied petroleum gas (LPG) firms via the Namanga and Holili border posts and the remainder is imported through the Port of Mombasa.

The LPG cost in Mombasa is much higher than in Dar es Salaam LPG because the offloading and storage infrastructure at Dar es Salaam or Tanga ports is more efficient.

Early this month, Kenya started crackdown on gas importers from Tanzania as the country’s revenue authority Deputy Commissioner for Revenue and Regional Coordination Joseph Kaguru disclosed that the traders have been paying Value Added Tax (VAT) of eight percent instead of 16 percent.

Mr Kaguru added that the traders are shipping in the commodity from the Middle East and using the Namanga border point to pay lower taxes under the pretext they are sourcing it from Tanzania.


With the ongoing crackdown, Kenya is now is heavily relying on the new KOT 2 jetty project owned by Kenya Ports Authority (KPA) to open up the market, promote competition and to increase LPG consumption and reduce prices to citizens.

The new KOT2 project includes a dedicated berth and pipeline for LPG, which will now allow for larger vessels to call at the port of Mombasa promoting economies of scale and reducing handling costs drastically.

akitimo@ke.nationmedia.com


MY TAKE
Another white elephant infrastructure at Mombasa port manifests itself! Ati Kipevu oil jetty 02!? Kipevu oil jetty my foot, make it KOJ 100..!!
CC: Tony254
KOT2 sio Kipevu oil jetty 2 bali ni Kipevu oil terminal 2 na imeshakamilika na mimi mwenyewe nilimwaga mapicha hapa. Kisha sikujua kwamba Watanzania walikuwa wanaimport lpg kutoka Middle-East hadi Tanga na Dar ports kisha wakifika Namanga border wanaendelea kulipa VAT ya zamani ya 8% badala ya 16%. Mwaka mmoja au miwili iliyopita Kenya iliongeza VAT on petroleum products kutoka 8% hadi 16%. Sasa swali langu ni Kama gesi zinazopitia Mombasa port zinatozwa 16% VAT mbona hizi za Namanga border zitozwe 8%? Aiseeh KRA ipo sawa na iendelee vivyo hivyo kusawazisha tozo katika border points zote.
 
Hata William Rutta anasema kwamba baada ya BBI hakuna project yoyote kubwa iliyotekelezwa na Jubilee

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nairobi Expressway ujenzi wake ulianza 2019, baada ya handshake. Najua unaegemea mrengo gani wa kisiasa hapa Kenya. Unapenda kutaja David Ndii sana pia. Kila la heri katika uchaguzi huu. Pia eliakeem yupo upande wako wa kisiasa.
 
Mimi sio Mkale. Nakuru ina mchanganyiko wa makabila tofauti. Baba yangu na mama yangu wanatokea kabila mbili tofauti. Walipendana na kuoana.
Lini utakubali kwamba Tanzania's ports zinahudumia Kenya kwa kiasi kikubwa na utaanza kuheshimu Tanzania kwamba ni regional economic and logistics hub?

Screenshot_20220603-050211.png
 
Lini utakubali kwamba Tanzania's ports zinahudumia Kenya kwa kiasi kikubwa na utaanza kuheshimu Tanzania kwamba ni regional economic and logistics hub?

View attachment 2248720
Hahaha sasa Tanzania kuhandle 40% ya Kenyan lpg imports ndio inawafanya muwe regional logistics hub? What about Kenya ambayo inahandle zaidi ya 80% ya mizigo zote za Uganda? Sio lpg pekee ya Uganda bali 80% ya mizigo zote za Uganda zinapitia Mombasa port. Sasa wewe unaringa kwa sababu mnahandle 40% ya Kenyan lpg imports?
 
Hahaha sasa Tanzania kuhandle 40% ya Kenyan lpg imports ndio inawafanya muwe regional logistics hub? What about Kenya ambayo inahandle zaidi ya 80% ya mizigo zote za Uganda? Sio lpg pekee ya Uganda bali 80% ya mizigo zote za Uganda zinapitia Mombasa port. Sasa wewe unaringa kwa sababu mnahandle 40% ya Kenyan lpg imports?
Mzigo wa Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia, Uganda, South Sudan, Kenya and SADC countries unajua nani anabeba?
 
Mzigo wa Rwanda, Burundi, DRC, Malawi, Zambia, Uganda, South Sudan, Kenya and SADC countries unajua nani anabeba?
Mizigo ya Uganda nyie mnahandle chini ya 10%. Mizigo ya Kenya nyie mnahandle chini ya 5%. Rwanda na Burundi ni nchi ndogo sana hazina mizigo mingi. Mizigo ya South Sudan nyie mnahandle chini ya 5%.
 
Nairobi Expressway ujenzi wake ulianza 2019, baada ya handshake. Najua unaegemea mrengo gani wa kisiasa hapa Kenya. Unapenda kutaja David Ndii sana pia. Kila la heri katika uchaguzi huu. Pia eliakeem yupo upande wako wa kisiasa.
Mimi ninsmkubali Sana David Ndii toka zamani bila kujali mrengo wake wa kisiasa, huo upumbavu wa kuegemea mirengo ya kisiasa sisi huku Tanzania sio tatizo kubwa Kama ilivyo huko kwenu, hapa nimezungumzia Rutto na Raila na nimewaweka kundi Moja japo wapo pande mbili tofauti za kisiasa.

Jambo Moja ambalo linanisumbua Sana Kenya ni jinsi ambavyo hamtumii akili zenu katika kufikiria badala yake mnavutwa zaidi na ukabila, ukanda au vyama vya kisiasa. David Ndii ni miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa Sana wa Elimu na akili ya kufikiria mambo, lakini kila anapotoa maoni yake, badala ya kujadili kile alichokisema, ninyi mnapinga kwa misingi ya mirengo ya kisiasa.

Huku Tanzania wakati wa kipindi cha Magufuli, ninyi wakenya mlikua mkisema tulikua tunaunga mkono CCM, Kuna wakenya wapumbavu walikua wakisema wote waliokua wakiunga mkono utawala wa Magufuli ni "CCM die hard". Hivi Sasa walewale waliokua mliokua mkiwaita CCM die hard", wanaipinga CCM mnawaita "Sukuma gang". Hii ni kuonyesha kwamba, Tanzania hatuna huo ujinga wa kufuata mirengo ya kisiasa Kama huko kwenu, tunachofuata ni vitendo na akili ya mtu husika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom