That is me, kwa vile najua miradi mingi ya barabara zenye Uhuru alizo kamilisha alipata zikiendelea na kwa hivyo amejumuisha kwa number yenye yeye alianzisha fresh.., my point is Kenya iko na 23,000km of paved roads, whether Uhuru alijenga 10,000km fresh or 5,000km zakee pekee, haibadilishi kauli yangu., I am a logic and critical thinker nanii.., kama kutoka Kisumu, Kakamega, Kitale to Lodwar heading to South Sudan mimi najua ni project ya Kibaki ila Uhuru amekamilisha, lazima amejumuisha kwa zake.