Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
chongchung π π π π π π mko chini yetu milele, sio mimi ni world bank na KNBS nenda ukagombane naoπππ
The report itself is so vague. It is a news report by TheStar newspaper Kama sijakosea quoting WB as saying so. It's not an official report from the WB website or its affiliates like the ones we usually give here but for avoidance of unnecessary drama, we embraced it. Nitakutumia link if I get itSasa tubaki na World bank as a reputable source kwa sasa ya kunyamazisha vilaza bin mikwara humu, nafurahi sana wanavyoteseka wakijaribu kupingana na facts, rahaππππππ So which report was that eti 40%? and which year, coz latest news from World bank outlook report puts Kenya above Tz, Tanzania ni fukara tu sana π π
View attachment 2248231
View attachment 2248232
Kwani Bongo mkona highway haziko paved? Maajabu. π€£ π€£Kwani highway lazima ziwe paved? ππππ
Atasema hizo sio picha za kwao πLinyani halioni kundu lake, unasahu ikija ufukara, yenu ni mapana na marefu, pia google earth ita dhibitisha π π π π π
View attachment 2248280
View attachment 2248274
View attachment 2248275
View attachment 2248276
Kumbe na wewe ni kilaza., so ukisoma hii opinion piece, kwa kujenga 1659 km in 2014/2015 na Macharia kusema wamerejea kumalizia 10,000 km un aona tatizo liko wapi? kwa vile 10,000km ndio ilikua lengo na by 2022 walitimiza hilo, Ruto anaye mpinga Kenyatta hiyo hapingi ndio pia anatumia ku campaign kama achievement ya Jubilee, liko wazi sana, barabara zimejengwa zaidi kupitia muhula wa rais Uhuru tena kwa muda mfupi kuliko marais watatu wa kwanza combined, na inaonekana., nyie pigeni nduru hadi basi π π π π π πThe same statistics from government authorities πππ
Keep them for yourselves
Ila hii technology ya kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu tunaiomba, najua ni gravel lakini hii ni kali ππππ
View attachment 2248288
Kuna ingredient moja nimesahau inaitwa fomalin. Ile dawa ya kukausha maiti kwenye mortuary. Hii inawekwa ili ukipiga chang'aa unahisi akili ikicheza densi kichwani. Methanol nayo huwa inafanya walevi wawe vipofu. Najua ingredients kwa sababu Nakuru ndio nyumbani na huko nimeona walevi wengi wa chang'aa. By the way unapafahamu Nakuru? Unafahamu maeneo gani ya Nakuru?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£tony kumbe unajua full ingredients π€£π€£
Kama una ubavu nioneshe sehemu WB wakisema mna hizo kilometers za paved roads, hiyo ni citation tu kama ulishawi kuandaa report utajua πππchongchung π π π π π π mko chini yetu milele, sio mimi ni world bank na KNBS nenda ukagombane naoπππ
View attachment 2248290
View attachment 2248291
View attachment 2248293
View attachment 2248292
View attachment 2248299
Vi estate vyenyewe c ndio hvyo vya upande upande na bati nyekundu juu ukiongeza angle kdg ushuzi unaonekana, estate za kweli zinajengwa Dodoma na itakuwa fundisho hapa Africa jinsi gani miji inapaswa kuwa.Outside SA in Sub Saharan Africa, Kenya is second in real estate, vilaza hawapendi hii taarifa.
Kumbe na wewe ni kilaza., so ukisoma hii opinion piece, kwa kujenga 1659 km in 2014/2015 na Macharia kusema wamerejea kumalizia 10,000 km un aona tatizo liko wapi? kwa vile 10,000km ndio ilikua lengo na by 2022 walitimiza hilo, Ruto anaye mpinga Kenyatta hiyo hapingi ndio pia anatumia ku campaign kama achievement ya Jubilee, liko wazi sana, barabara zimejengwa zaidi kupitia muhula wa rais Uhuru tena kwa muda mfupi kuliko marais watatu wa kwanza combined, na inaonekana., nyie pigeni nduru hadi basi π π π π π π
View attachment 2248303
Unajua maana ya highway kwanza?Kwani Bongo mkona highway haziko paved? Maajabu. π€£ π€£
Mm naweka picha za ka Nairobi wewe cjui unaweka picha za vijiji gani, tena zinaonekana ni za 60s, weka picha ya Dar watu wakigombea maji kama ka NairobiLinyani halioni kundu lake, unasahu ikija ufukara, yenu ni mapana na marefu, pia google earth ita dhibitisha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2248280
View attachment 2248274
View attachment 2248275
View attachment 2248276







Towns zenu zote zimeungwa na lami?Kwani Bongo mkona highway haziko paved? Maajabu. π€£ π€£
Hawapendi ukiwapa ukweli huu, huoni wanashindwa kupinga wamebaki kulia liaThe same statistics from government authorities
Keep them for yourselves
Ila hii technology ya kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu tunaiomba, najua ni gravel lakini hii ni kali
View attachment 2248288








Huoni 2021 mahali, mnapenda kukana sishangaiππ, nyie mifukara kweli, yaani ata hiyo Dar inakaa 60s, nyumba za kishamba ulitegemea nini kaka?π π π π π π πMm naweka picha za ka Nairobi wewe cjui unaweka picha za vijiji gani, tena zinaonekana ni za 60s, weka picha ya Dar watu wakigombea maji kama ka Nairobi![]()
Washikilie hapo hapo usiwaache mpk wakome kuongeza 0sKama una ubavu nioneshe sehemu WB wakisema mna hizo kilometers za paved roads, hiyo ni citation tu kama ulishawi kuandaa report utajua
Na hakuna mahali inasema ni paved roads, on top of that hizo statistics mbili zote zinatoa number tofauti
Msimamo wa WB ni huu
View attachment 2248312







Tweet ya Ally Khan Satchu ni world bank? akili imechoka kama Mwanza π π π π π π πKama una ubavu nioneshe sehemu WB wakisema mna hizo kilometers za paved roads, hiyo ni citation tu kama ulishawi kuandaa report utajua πππ
Na hakuna mahali inasema ni paved roads, on top of that hizo statistics mbili zote zinatoa number tofauti π€£
Msimamo wa WB ni huu π π π
View attachment 2248312
atapinga bado.., wanafikiria Uhuru alidanganya, wakenya hawangemuacha vyema, KOT wangenyorosha Uhuru na facts, ila barabara ziko na zinaonekana na zingine nyingi zinaendelea kukamilika..,Wewe Mlazy anayeitwa chongchung naona unaamini World Bank sana sasa kuja nikufunze hesabu. Kwenye hii report WB wanasema kwamba Kenya ina 39,000 kilometres of national roads na kwamba 77% of national roads ni paved by 2016. Sasa hebu piga hesabu what is 77% of 39,000.
View attachment 2248317