Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Umekamata maumbwa. Wacha tuone venye watajitetea coz World Bank inasema Kenya ina 39,995 km of national roads na 77% ya hii barabara ni paved. Jamaa afanye hesabu atueleze what is 77% of 39,995.Asante sana kwa kutaja World Bank., wacha tutumie report yao tuone.., munapata taabu sanaπ π π π π π π
Report imechapishwa 2020, data used ni za nyuma,..,
View attachment 2248188
World Bank wanakiri Kenya has superior road infrastructure zaidi ya majirani, licha ya challenges, hivyo ndio huwa wanasema kuhusu ufukara.,π₯π₯πππππ
View attachment 2248189
More from World bank.., on Kenyan roads..,ππππ₯π₯ππ in 2017/18 highway za Kenya was 18,500km!!
View attachment 2248191
View attachment 2248194
KNBS report 2018
View attachment 2248203
Cc chongchung


