Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko nchi hii dunia yenye watu wanaopenda kupigana kende kushinda Tanzania? Hio ndio national sport yenu na ndio maana mnafeli kwenye michezo zote isipokuwa hilo. Halafu eti mnataka kuhost Afcon na jinsi taifa stars huwa mbovu kwenye mpira.
Tony unafikiri mpaka serikali yenu iweke ultra modern/ self adjusting/non load bearing wall pale uhuru park na jinvanjee moja wapo ya sababu ilikua nini?
 
Statistics ambazo hata wewe mwenyewe kwa maneno yako hapo unaonekana huzikubali
This is why I didn't want to tackle that list yule kilaza mwenzako alileta hapa jana coz I knew these are the kind of responses I would receive. Always denying everything!

Sasa Kama nimeshaguzia tu moja na already ushakana sasa ya nini kupoteza muda na watu wajinga? Na jana wewe ndio ulikuwa wa kwanza kusema nijibu ile list! SMH!
 
Mbona WB wakisema Kenya poorer than Zimbabwe huwa mnapinga then au wakisema Tanzania real estate is bigger than Kenyan real estate pia mnapinga ili hali ripoti hizo zote ni za vyombo mnavyoviamini?
Hatujawahi pinga hiyo ripoti hata siku moja. Kama uko na udhahidi weka hapa tuone. Hiyo ripoti inasema 40% ya wakenya wanaishi in extreme poverty. What we always do ni kufanya hesabu ya 40% ya wakenya tulinganishe na nchi zingine za Africa, Tanzania ikiwemo. That's what we've always done with that report. Us Kenyans we don't thrive on denial like you do.

Secondly, ripoti ya real estate inaongelea kuhusu VALUE ya real estate ya Dar not magnitude. There's nowhere that report mentions Tanzania or even ukubwa. It only mentions Dar and Nairobi. Get your facts right
 
Asante sana kwa kutaja World Bank., wacha tutumie report yao tuone.., munapata taabu sana😂 😂 😂 😂 😂 😂 👇
Report imechapishwa 2020, data used ni za nyuma,..,
1654175860182.png

World Bank wanakiri Kenya has superior road infrastructure zaidi ya majirani, licha ya challenges, hivyo ndio huwa wanasema kuhusu ufukara.,🔥🔥😜😜😜😂😂
1654175891464.png

More from World bank.., on Kenyan roads..,😜😜👇🔥🔥😂😂 in 2017/18 highway za Kenya was 18,500km!!
1654176002434.png

1654176050918.png

KNBS report 2018
1654176299785.png
 
This is why I didn't want to tackle that list yule kilaza mwenzako alileta hapa jana coz I knew these are the kind of responses I would receive. Always denying everything!

Sasa Kama nimeshaguzia tu moja na already ushakana sasa ya nini kupoteza muda na watu wajinga? Na jana wewe ndio ulikuwa wa kwanza kusema nijibu ile list! SMH!
Access to clean water indeed
Screenshot_20220505-221237.jpg
tapatalk_1594833469292.jpg
Screenshot_20220530-160404.jpg
 
Hatujawahi pinga hiyo ripoti hata siku moja. Kama uko na udhahidi weka hapa tuone. Hiyo ripoti inasema 40% ya wakenya wanaishi in extreme poverty. What we always do ni kufanya hesabu ya 40% ya wakenya tulinganishe na nchi zingine za Africa, Tanzania ikiwemo. That's what we've always done with that report. Us Kenyans we don't thrive on denial like you do.

Secondly, ripoti ya real estate inaongelea kuhusu VALUE ya real estate ya Dar not magnitude. There's nowhere that report mentions Tanzania or even ukubwa. It only mentions Dar and Nairobi. Get your facts right
Outside SA in Sub Saharan Africa, Kenya is second in real estate, vilaza hawapendi hii taarifa.
 
Hatujawahi pinga hiyo ripoti hata siku moja. Kama uko na udhahidi weka hapa tuone. Hiyo ripoti inasema 40% ya wakenya wanaishi in extreme poverty. What we always do ni kufanya hesabu ya 40% ya wakenya tulinganishe na nchi zingine za Africa, Tanzania ikiwemo. That's what we've always done with that report. Us Kenyans we don't thrive on denial like you do.

Secondly, ripoti ya real estate inaongelea kuhusu VALUE ya real estate ya Dar not magnitude. There's nowhere that report mentions Tanzania or even ukubwa. It only mentions Dar and Nairobi. Get your facts right
Sasa tubaki na World bank as a reputable source kwa sasa ya kunyamazisha vilaza bin mikwara humu, nafurahi sana wanavyoteseka wakijaribu kupingana na facts, raha😂😂😂😂😂😂 So which report was that eti 40%? and which year, coz latest news from World bank outlook report puts Kenya above Tz, Tanzania ni fukara tu sana 😂 😂
1654177793091.png

1654177803162.png
 
hii ni changes gani tena. hii ni font gani tena... wameharibu sana JF format, heri warudishe jinsi ilivyo kua

very fake font
Screenshot_20220602-165312_Chrome.jpg

and where do I see my reaction score, points and massages.. ni kaa sizioni tena
 
Asante sana kwa kutaja World Bank., wacha tutumie report yao tuone.., munapata taabu sana😂 😂 😂 😂 😂 😂 👇
Report imechapishwa 2020, data used ni za nyuma,..,
View attachment 2248188

World Bank wanakiri Kenya has superior road infrastructure zaidi ya majirani, licha ya challenges, hivyo ndio huwa wanasema kuhusu ufukara.,🔥🔥😜😜😜😂😂
View attachment 2248189

More from World bank.., on Kenyan roads..,😜😜👇🔥🔥😂😂 in 2017/18 highway za Kenya was 18,500km!!
View attachment 2248191
View attachment 2248194
KNBS report 2018
View attachment 2248203
Kwani highway lazima ziwe paved? 😂😂😂😂
 
Kwani highway lazima ziwe paved? 😂😂😂😂
Kumbe zenu ni vumbi? 😂 😂 😂 😂 ., mtalilia kwa choo huu mwaka na kuendelea hadi mwisho wa dunia😂😂😂😂😂
2018 paved ni 18,655km, dadeki🔥🔥🔥🔥
1654179503708.png
 
Kumbe zenu ni vumbi? 😂 😂 😂 😂 ., mtalilia kwa choo huu mwaka na kuendelea hadi mwisho wa dunia😂😂😂😂😂
2018 paved ni 18,655km, dadeki🔥🔥🔥🔥
View attachment 2248284
The same statistics from government authorities 😂😂😂

Keep them for yourselves

Ila hii technology ya kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu tunaiomba, najua ni gravel lakini hii ni kali 😂😂😂😂

Screenshot_20220602-083327.png
 
Back
Top Bottom