Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Job Welldone Mr President
1654017415690.png
1654017467959.png
1654017585740.png
 
Asa hapo umeonyesha nini ambacho ni zaidi ya nilivyoonyesha mimi kutoka Mwanza.? 😂😂.. kwanza Mwanza hakuishi maskini na wazembe kama hao hao wapuuzi wa huko mombasa kwenu, u should never compare them..
Wazembe? 😂😂Wangekuwa wazembe Mombasa haingekuwa imeendelea kuliko Mwanza, wala haingekuwa na uchumi ya juu kuliko kile kijiji kingine
 
Hongera [mention]TANESCO [/mention]
Leo nilikuwa na changamoto ya umeme nyumbani kwangu lakini kupitia hii app mpya ya nikonekt kutoka TANESCO nimepata msaada ndani ya lisaa, yaani walifika kwangu na kutatua tatizo.
[mention]Simon [/mention] mmeupiga mwingi kinyama.

Hii huduma waliizindua juzi.

NB; App ya nikonekt nilishusha kwenye simu ya android.
IMG_1944.jpg
 
Wazembe? 😂😂Wangekuwa wazembe Mombasa haingekuwa imeendelea kuliko Mwanza, wala haingekuwa na uchumi ya juu kuliko kile kijiji kingine
😂😂😂 Tushuke ground tupime individual development level .? Au utaleta story za bandari na interchange kupima maendeleo ya wakazi wa mombasa.?
 
Back
Top Bottom