Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but if you didn't know, Khayelitsha Slums with a population of 400,000 pple in Cape Town, stands to be the LARGEST SLUMS IN THE CONTINENT OF AFRICA.! if you didn't know, now u knw

nb: Kibera has about 100,000 pple only.! Google it please.......

Khayelitsha, Cape Town, South Africa 👇🏽👇🏽
View attachment 2245656View attachment 2245657View attachment 2245658View attachment 2245659View attachment 2245660View attachment 2245661
Ata SA na hizo slums still blacks kule South Africa on average wako way better than Tanzanians or any East African country by far.., so imagine eti sisi tuchukue picha za slums za SA we post tukijaribu kuwaonyesha vile tuko juu yao, yani ni ujinga tupu, ndio akili ya chongchung, analazimisha Kenya ionekane iko below TZ ila google earth inaonyesha muonekano wa ufukara umetapakaa kwa ukubwa upande wao😂😂😂😂😂😂.., pia wageni wanaona wazi wazi na kukiri, despite knowing that kenya has Kibera😂😂😂😂😂😂
 
Dar Es Salaam.
IMG_1938.jpg
 
Kishindo kingine Cha awamu ya Sita,ni wiki ijayo..

Zaidi ya Til.1 kumwagwa kwenye sekta ya Maji,miji 28 Nchi nzima 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-133930.png
    Screenshot_20220531-133930.png
    181.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20220531-134015.png
    Screenshot_20220531-134015.png
    171.9 KB · Views: 15
  • Screenshot_20220531-134051.png
    Screenshot_20220531-134051.png
    86.1 KB · Views: 14
Wacha waendeleee kununa,Mama SSH anazidi kuupiga mwingi 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220531-134115.png
    Screenshot_20220531-134115.png
    137.1 KB · Views: 12
This system is running at a loss.
Kwani bei ya basi moja sh ngapi kama kwa siku wanaingiza hela ya kutosha kununua basi moja, kwa mwaka ni mabasi kama 300 sasa katika akili ya kawaida tu hapo hasara inatoka wapi ...ngoja nicheki bei ya basi moja sh ngapi
 
Ukiondoa maeneo machache mno wanamoishi waarabu wenye viwanda Mombasa, Mombasa yote ni uozo wa kinyesi kushoto kulia, CBD yenyewe yote ni slums 🤣🤣🤣

View attachment 2245637View attachment 2245638
a disillusioned resident ata andika kile anacho fikiria, especially exaggeration lazima, he is emotive thus subjective, ni same tu vile b aadhi ya wakenya wanasema "Uhuru has done nothing amalize aende"., so inamaanisha hajafanya chochote?.., google earth iko available mbona uandike kwa mate na wino ni free?., weka wide views tuone ukubwa wa hizo slums tulinganishe na utopolo ulioko Dar.., leo niko available sana.., haukwepi.., link hiyo hapo👇
 
ata tuna waste tyme hapa na wabongo, jili Dar karibu yote; 70% ni slums... so hawana cha kuonesha. waonyeshe nini na ilhali....


(source ni Reuter na UN-HABITAT REPORT 2019)

Screenshot_20220531-153455_Google.jpg
Screenshot_20220531-153429_Chrome.jpg
 
Dar kabisaaa, tazama hizo nyumba👇👇linganisha na za Nairobi, wacha kukimbia na vipicha vingine.., google earth umeiogopa, hauwezi sambaza propaganda zako vizuri 😂 😂 😂 😂
1654000795458.png
 
ata tuna waste tyme hapa na wabongo, jili Dar karibu yote; 70% ni slums... so hawana cha kuonesha. waonyeshe nini na ilhali....


(source ni Reuter na UN-HABITAT REPORT 2019)

View attachment 2245785View attachment 2245786
Hilo wanajua, liko wazi sana.., these guys wanapenda kujitia hamnazo, ukweli inawakera na wivu mob towards Kenya😂😂😂😂😂😂
 
Hilo wanajua, liko wazi sana.., these guys wanapenda kujitia hamnazo, ukweli inawakera na wivu mob towards Kenya😂😂😂😂😂😂
Tanzania haina ikulu yenye slums brathee 😂😂😂

Slum la Kisumu
Hamna paliposalimika aisee

Screenshot_20220407-043428.png
 
Back
Top Bottom