Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeongea kishabiki sana. Mwanza ndio mji wenu wa pili kama ilivyo Mombasa huku kwetu. Hebu nitajie maendeleo ambayo ipo Mwanza haipo Mombasa kwa sababu nasikia Mwanza nayo ni 'jiji'
nani anaongea kishabiki au kipi nisichokijua mombasa ??🤣🤣 mombasa ni mji wa ovyo kabisa yani hauna hadhi ya kuitwa city mark my words, ukweli ni mchungu lakini vumilia bro, mji hauko hata kwenye modern cities, mji uko vile vile miaka nenda miaka rudi
 
mm nakuonesha streets ww unanionesha highways bro ?? hvi akili yako iko sawa au uko maji?? 😂😂😂😂

hebu tazama hii video plz 🤣🤣👇👇
 
Unataka uone nini ndio ujue iko modern? What defines modernity?
acheni upuuzi 🤣🤣👇👇👇
F8CB2B31-9066-4FAF-B2F8-DCA4EA12ED91.jpeg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kenyan comedians are bad pipo.! a TRUE replica of John pombe maguful.. hivi nimecheka kuruka🤣🤣
Screenshot_20220531-214246_Chrome.jpg

Hee kwanini utaje maneo yote hayo, wakati two districts of Dar es Salaam ar bigger ×2 to NAIROBI .. Kinondoni District inatosha kuilaza chali kanairo
We are not talking about size here, we are talking about uswazi zilizokaba Dar koo hadi haipumui. Hizo sehemu zote imetaja ni uswazi and there are many more
 
Hii mabati house kukiwa na baridi unakoma na baridi na kukiwa na joto pia unakoma na baridi . Halafu mwizi hapo anakuja na nyundo tu kuchukua anachotaka
Hii ni kaunda suti matata sana ,hainaga dogo kwenye hali ya hewa, hali zote inapiga kote kote
 
Hii mabati house kukiwa na baridi unakoma na baridi na kukiwa na joto pia unakoma na baridi . Halafu mwizi hapo anakuja na nyundo tu kuchukua anachotaka
wacha ku-cram kukiwa na joto unakoma na joto pia! Kitu ni heat conductor!
 
mm nakuonesha streets ww unanionesha highways bro ?? hvi akili yako iko sawa au uko maji?? 😂😂😂😂

hebu tazama hii video plz 🤣🤣👇👇

Hizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?
1654024014588.png

Ama maana ya highway ndio hajui?
 
Taarifa za miaka mitano sasa! Kubalini uswazi ni donda sugu Dar bongolala. Hebu leta hizo picha za real estate tuone 😂
Mkuunduguyako nini...
Nikiwa na laki apo nairobi c ntaishia kwe mabati fullsuti aka slum wkt nkiwa bongo nakutana na chumba kizuri au hata nyumba kabisa unajua ni kwa nini? Sababu zipo chache nairobi kwa kifupi ligi ndogo !!
 
Always resorting to senseless abuse whenever you run out of ideas. Bongolala, nimekuuliza upost picha za hizo real estate aka dreamhouses tuone. Matusi hataondoa uozo wa jiji lenu.
 
Back
Top Bottom