Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chongchung wacha nikusaidie, Buruburu hiyo hapo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡,.., naona unakwepa kutumia google earth ama umetazama ukaona ukweli unajitia hamnazo, ndani ya Tanzania hauna sehemu yoyote na pia in dar ya kujibu hii, unaumwa na ukweli wewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ around shopping centres ndio utapata flats na appartments some ni shops, banks, colleges na supermarkets..,
View attachment 2245817
View attachment 2245819
View attachment 2245820
Ina utofauti gani na Mbagala?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Screenshot_20220531-161649.png
 
These mud houses are like kunyaland major cities monuments, they're everywhere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni muda muafaka sasa umefika muziweke kwenye bank notes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tony254 em niambie kwanini mpaka leo mna mud huts kwenye CBDs zenu zote?

View attachment 2245663View attachment 2245664View attachment 2245665

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakunya wa humu wakiweka picha za Mombasa huwa wanaweka picha moja tu ya CBD tena CBD yenyewe imechoka kweli kweli ina majengo ya zamani sn enzi za sultan seyyid sayyid wa Oman. I bet hii Mombasa huenda ni slum county inayoshinda kibera na Mathare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona kweli hii ni Mombasa CBD
1654003271429.png

1654003288151.png

1654003302479.png

1654003316602.png
 
Save South Africa for another day, leo tupo Kenya please [emoji23][emoji23][emoji23]

South Africa hawana mud huts though [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mombasa hii mkuu, mpaka lini? [emoji848]

Tanzania tuna informal settlements lakini hatujafika huku!

View attachment 2245672View attachment 2245673View attachment 2245674View attachment 2245675View attachment 2245676View attachment 2245677View attachment 2245678View attachment 2245679View attachment 2245680View attachment 2245681
Nilisema mm kwamba hii Mombasa ni vile hatuijui vzr tu lkn huenda ndiyo number one slum city in East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mujibu wa waziri wa michezo leo ikulu..anasema wachina wametuma maombi wizara ya fedha (kutoa mkopo) kwa ajili ya kujenga uwanja wa michezo dodoma

Good thing..waziri wa fedha ni mwigulu, mwanamichezo
Yani wametuma maombi ili tuombe mkopo watujengee uwanja au cjasikia vzr mkuu.
 
Wakunya wa humu wakiweka picha za Mombasa huwa wanaweka picha moja tu ya CBD tena CBD yenyewe imechoka kweli kweli ina majengo ya zamani sn enzi za sultan seyyid sayyid wa Oman. I bet hii Mombasa huenda ni slum county inayoshinda kibera na Mathare [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hawa wanamombasa wameongea ukweli, wamewabambikia utanzania ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20220531-134744.png
Screenshot_20220531-134702.png
 
Ina utofauti gani na Mbagala?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

View attachment 2245848
Unaweza linganisha Mbagala na Buruburu eti? jina pekee lina sound la kifukara eti Mbagala ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
1654003589548.png

1654003600758.png

VS
Mbagala kwa karibu๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1654003885426.png
 
Kuna tofauti gani na Mbagala jombaa?

View attachment 2245869
Nyuimba za kishamba hizi umeweka angle ya mbali kuficha uhalisia, barabara za vumbi ndio ulinganishe na Buruburu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., msikize tu baba levo alivyo sema., Nairobi iko miaka 25 mbele ya Dar.., na nahisi ni zaidi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
then 90%+ of nairobi is worldclass.. View attachment 2245863
Baba Levo alishuhudia., vilaza hawapendi ukweli.., Dar ukiweka such a wide angle view ni balaa., aibu tupu, sasa hawana jibu wanatafuta mapungufu ya |Kenya watumie kama silaha ya kujikinga, very desperate, hawana jibu ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Nyuimba za kishamba hizi umeweka angle ya mbali kuficha uhalisia, barabara za vumbi ndio ulinganishe na Buruburu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., msikize tu baba levo alivyo sema., Nairobi iko miaka 25 mbele ya Dar.., na nahisi ni zaidi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbagala hiyo, the worst part of Dar ipo kama Karen tu

Screenshot_20220531-163535.png
 
Hamna tofauti hata 1
sawa pia mimi nimeona Buruburu iko na njia za vumbi kila sehemu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚., leo umejinyomga, nashukuru wa anzilishi wa Google earth, la sivyo mungedanganya ulimwengu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1654004260601.png

1654004280457.png


Mbagala๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sawa bro nime tii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1654004377310.png
 
Mbagala hiyo, the worst part of Dar ipo kama Karen tu

View attachment 2245873
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Buruburu ya dar ni Karen eti., Serikali ya muungano wa Tanzania should ban google earth kama vile China wali ban google na youtube kule kwao, inaleta aibu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1654004591727.png

1654004623627.png
 
Back
Top Bottom