Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,709
Ni nini kinaonyezha ni modern na ile ngingine sio modern? Ama ni hizo vioo?acheni upuuzi 🤣🤣👇👇👇
View attachment 2246267
Ni nini kinaonyezha ni modern na ile ngingine sio modern? Ama ni hizo vioo?acheni upuuzi 🤣🤣👇👇👇
View attachment 2246267
Always resorting to senseless abuse whenever you run out of ideas. Bongolala, nimekuuliza upost picha za hizo real estate aka dreamhouses tuone. Matusi hataondoa uozo wa jiji lenu.

eeehBado unaongea tu kishabiki kama alibyoongea yule kilaza mwenzako wa kwanza. Nishakubali Mombasa ni ovyo wala haiitaji kuitwa city, Sasa nataka uniambie maendeleo ambayo ipo Mwanza (ambayo ndio inafaa hadhi ya jiji) na hakipo Mombasa. Hii maneno mengi bila evidence haitakusaidia chochotenani anaongea kishabiki au kipi nisichokijua mombasa ??🤣🤣 mombasa ni mji wa ovyo kabisa yani hauna hadhi ya kuitwa city mark my words, ukweli ni mchungu lakini vumilia bro, mji hauko hata kwenye modern cities, mji uko vile vile miaka nenda miaka rudi
Shuka kama una kende. Nakusubiri😂😂😂 Tushuke ground tupime individual development level .? Au utaleta story za bandari na interchange kupima maendeleo ya wakazi wa mombasa.?
chongchung hawa nao ni Black British wameishi Nairobi kuanzia September last year. Wanasifu Nairobi sio mchezo.
Acha ushamba dogo cheki jiji kuu africa mashariki na kati cheki kkoo ilivyo jaa watu wakifanya biashara zaochongchung hawa nao ni Black British wameishi Nairobi kuanzia September last year. Wanasifu Nairobi sio mchezo.
Ni kweli kabisa maduka yenu hamuandiki kwa kiingereza. Hizi hapa naona zimeandikwa kwa kinyamwezi.Hapo sio Tanzania maduka yetu hatuandiki kwa kiingereza. Sijui hair saloon, half cut narudia tena hatuna lugha hizo kwenye maduka yetu
Always resorting to senseless abuse whenever you run out of ideas. Bongolala, nimekuuliza upost picha za hizo real estate aka dreamhouses tuone. Matusi hataondoa uozo wa jiji lenu.



hebu nitajie hio barabara inaitwaje ?? 😂😂 hio ni main road and not street usitafute chaka budaa kama umelewa sema tukuacheHizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?
View attachment 2246295
Ama maana ya highway ndio hajui?
🤣🤣🤣🤣 leo umelewa sana budaa pumzika manake sijui povu za pombe gani hzoNi nini kinaonyezha ni modern na ile ngingine sio modern? Ama ni hizo vioo?
😂👇👇👇Bado unaongea tu kishabiki kama alibyoongea yule kilaza mwenzako wa kwanza. Nishakubali Mombasa ni ovyo wala haiitaji kuitwa city, Sasa nataka uniambie maendeleo ambayo ipo Mwanza (ambayo ndio inafaa hadhi ya jiji) na hakipo Mombasa. Hii maneno mengi bila evidence haitakusaidia chochote
hebu nitajie hio barabara inaitwaje ?? 😂😂 hio ni main road and not street usitafute chaka budaa kama umelewa sema tukuache
so ikiwa CBD ndio inakua sio main road au??
siku utapata streets za level ya mwanza nitag nifunge acc😂😂 ww huna kitu utanidanganya kuhusu huo mji wa ovyo kbisa unaitwa mombasa
Umesahau vioo vya gari ni shutterproofKwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Uzuri nipo Mwanza 😂😂 utatataga 👇 yani unapost walk ways.? Ulifkir Mwanza hakuna .? Mwanza is beautiful and clean (The tanzania's cleanest city) nakuwekea picha bila filter wala nini.. hiyo mombasa ni uchafu tu mbele ya MwanzaHizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?
View attachment 2246295
Ama maana ya highway ndio hajui?
Read to understand, not to reply numbly. Then eti 'we are mostly educated' 🤮Umesahau vioo vya gari ni shutterproof View attachment 2246424
Nashangazwa sana na hawa wakenya aisee 😂😂 mji wa mombasa ni wa watu lazy na .askini kwa kiwango kikubwa, wanataka walinganishe na Mwanza 😂😂. Labda kwa interchange na bandari tu watashinda hiyo battlehebu nitajie hio barabara inaitwaje ?? 😂😂 hio ni main road and not street usitafute chaka budaa kama umelewa sema tukuache
so ikiwa CBD ndio inakua sio main road au??
siku utapata streets za level ya mwanza nitag nifunge acc😂😂 ww huna kitu utanidanganya kuhusu huo mji wa ovyo kbisa unaitwa mombasa
Huoni aibu mzee.? 😂😂Picha zenye lipstick na picha real utalinganishaje?jiji gani zaidi kwenye streets level.? kazi kwenu........
MWANZA👇🏽View attachment 2246353View attachment 2246355View attachment 2246357View attachment 2246359
KISUMU👇🏽View attachment 2246386View attachment 2246387View attachment 2246389View attachment 2246390View attachment 2246394View attachment 2246398View attachment 2246402View attachment 2246404View attachment 2246408View attachment 2246409View attachment 2246413View attachment 2246414View attachment 2246416View attachment 2246418View attachment 2246419View attachment 2246420View attachment 2246421View attachment 2246422View attachment 2246423View attachment 2246425View attachment 2246426View attachment 2246428