Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani bei ya basi moja sh ngapi kama kwa siku wanaingiza hela ya kutosha kununua basi moja kwa mwaka ni mabasi kama 300 sasa katika akili ya kawaida tu hapo hasara inatoka wapi ...ngoja nicheki bei ya basi moja sh ngapi
Your BRT is running at a loss.
 
Whichever way you want to look at it bongolala, we are just worlds apart.
This is a zoomed in image of a residential area in Dar View attachment 2246038

Below are zoomed out images of different residential areas in Nairobi, some covering more than one estate.
View attachment 2246040View attachment 2246041View attachment 2246042View attachment 2246043View attachment 2246044
The difference is like black and white!
20220531_185241.png
20220531_185303.png

Kama unaumia chomoa bradee....
 
Your BRT is running at a loss.
according to mama ngina? 🤣🤣🤣 hvi kuna kitu gani kenya kinatengeza faida ??

ww BRT inakuuma sana kwasababu hamuna na hamutakua nayo miaka 50 ijayo mark my words 😂😂😂😂
 
kua na biggest port haina maana kwamba inamaendeleo inaeza kua ina big port lakini iko nyuma kimaendeleo kwa miaka 100🤣🤣 hvi ww hujui kama kiuhalisia mombasa ilitakiwa kua mbali sana kuliko nairobi ?? hvi mombasa kuna maendeleo gani over 50yrs now??😂😂😂😂 ikiwa port yenyewe sahii inakufa, mombasa kuna maendeleo gani ????
Umeongea kishabiki sana. Mwanza ndio mji wenu wa pili kama ilivyo Mombasa huku kwetu. Hebu nitajie maendeleo ambayo ipo Mwanza haipo Mombasa kwa sababu nasikia Mwanza nayo ni 'jiji'
 
Back
Top Bottom