Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtanzania mmoja aliyejaribu huo upuuzi wa kupiga 180 kph alikufa kwa ujinga wake. Barabara ambalo ni single-carriageway,lina round-abouts na lina bumps utakuwa zuzu kujaribu kupiga 180 kph pale.

lakini mwisho mwisho huyu jamaa alipunguza speed.. mi sikuona akipata ajali
 
Hana akili huyo, yeye vipicha vyake daily ni hivyo hivyo tu, vipicha vya upande upande. Hapo akiongeza angle kdg tu unaona uvundo wote.
Bongolala, vitakuwaje vya upande upande wakati picha nilileta za Mabibo, Vingunguti, Keko, Manzese, Mbagala, Gongolamboto, Tandale, Buguruni na maeneo mengine mengi? Sema tu mumeishiwa nguvu za majibu kwa middle-class areas zenu nilizoleta
 
Wana huu uozo wa gikomba 😅😅😅
Tena hapa umeshakarabatiwa to international standards


This is the new Gikomba market bongolala. Six stories high!
images - 2022-05-31T174745.523.jpeg
images - 2022-05-31T174802.794.jpeg
 
Walisema wameachana nazo miaka 20 iliopita 😅😅😅😅
Hebu leta dhibitisho ya madai yako. Tangu tuanze kutumia nguzo za zege haijafika hata miaka kumi. Sasa hiyo ishirini ulitoa wapi wewe?
 
No. You are the silly one for arguing with facts.
Hata haoini viti vya hiyo gari iliyohusika kwenye ajali ni nyeupe kama tu ya gari aliyokuwemo ndani huyo jamaa akijirekodi. Hawa watu wanapenda ubishi za kijinga sana, hata mahali ubishi haufai
 
Ila we jamaa pumbafu sana 😂😂😂 asa sjui unatudanganya au unajidanganya
Kanairo umezoom in. dar umeisogeza mbali sana
Tabia za kikenya kabisa hizi!
Whichever way you want to look at it bongolala, we are just worlds apart.
This is a zoomed in image of a residential area in Dar
Screenshot_20220531-182846~2.png


Below are zoomed out images of different residential areas in Nairobi, some covering more than one estate.
Screenshot_20220531-181616~2.png
Screenshot_20220531-181542~2.png
Screenshot_20220531-181512~2.png
Screenshot_20220531-182322~2.png
Screenshot_20220531-182301~2.png

The difference is like black and white!
 
Back
Top Bottom