babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Yaani umelemewa hautaki kuweka picha ya kuonekana tuone Mombasa yote ni slum unavyosema wewe😜😂😂😂😂 kama vile huwa naowaonyesha ufukara wa Dar kwa ukubwa na upana? 😂 😂 😂 najua umeshangaa Mombasa iko organized na better kuliko Dar kwa muonekano kupitia google earth, mbona ukaweka kwa umbali? wacha nikuonyeshe kwa karibu watu wajionee.., outside CBD, from Airport ulio weka.., usiogope, ingia google earth kisha mwaga picha za Mombasa wazi wazi.., kila kitu kiko wazi,Mombasa yote ni slums mpaka airport Imepigwa kabali na slums 😂😂😂😂
View attachment 2245522View attachment 2245524View attachment 2245525
Kwa hiyo hii sio Mombasa?Yaani umelemewa hautaki kuweka picha ya kuonekana tuone Mombasa yote ni slum unavyosema wewe😜😂😂😂😂 kama vile huwa naowaonyesha ufukara wa Dar kwa ukubwa na upana? 😂 😂 😂 najua umeshangaa Mombasa iko organized na better kuliko Dar kwa muonekano kupitia google earth, mbona ukaweka kwa umbali? wacha nikuonyeshe kwa karibu watu wajionee.., outside CBD, from Airport ulio weka.., usiogope, ingia google earth kisha mwaga picha za Mombasa wazi wazi.., kila kitu kiko wazi,
View attachment 2245561
View attachment 2245563
View attachment 2245565
View attachment 2245567
View attachment 2245568
View attachment 2245569
View attachment 2245571
View attachment 2245572
Hii ya Reli ya tazara? ni ngumu kupanua ..labda wangefumua Reli waamishe ..kwenye underpass nyingine alfu hyo waibomoe ..BRT Phase II
How i wish hii underpass ingepanuliwa!! huyu mkandarasi sijui walimtoa wapi??
View attachment 2245464
Simon what's ur take!
Hiyo ndiyo option iliyopo, yaani wajenge diversion overpass kama ya KAMATA/Nkrumah halafu ujenzi ukikamilika wanavunja hii ya zamani ili wasi-disrupt operations za TAZARAHii ya Reli ya tazara? ni ngumu kupanua ..labda wangefumua Reli waamishe ..kwenye underpass nyingine alfu hyo waibomoe ..
Ndio mnashtuka leo wakati mji wenu wote mmeuchafua na hayo maslums?View attachment 2244054
Buruburu hiyo mkuu, planned estate kabisa 😂😂😂😂Mtu anaishi mitaa hii, halafu unajifanya kujadiliana naye hapa JF. 😛 😂 😆
Lazima uzimie tu kwa matusi atakayo kupimia.
but if you didn't know, Khayelitsha Slums with a population of 400,000 pple in Cape Town, stands to be the LARGEST SLUMS IN THE CONTINENT OF AFRICA.! if you didn't know, now u knwMombasa yote ni slums mpaka airport Imepigwa kabali na slums 😂😂😂😂
View attachment 2245522View attachment 2245524View attachment 2245525
Save South Africa for another day, leo tupo Kenya please 😂😂😂but if you didn't know, Khayelitsha Slums with a population of 400,000 pple in Cape Town, stands to be the LARGEST SLUMS IN THE CONTINENT OF AFRICA.! if you didn't know, now u knw
nb: Kibera has about 100,000 pple only.! Google it please.......
Khayelitsha, Cape Town, South Africa 👇🏽👇🏽
View attachment 2245656View attachment 2245657View attachment 2245658View attachment 2245659View attachment 2245660View attachment 2245661
Buru Buru ni mtaa wa appartments eti, ama uliokota tu picha mtandaoni imeandikwa buruburu wewe ukadandia.., mbona unaogopa google earth, ityumie ikupeleke Buruburu.., Tanzania mtangoja sana.., viji excuse kujiliwaza., onyesha kwa google earth real time, hakuna propaganda ya angles na maneno mengi...,
yaani nimeona picha za kibera zimechanganyishwa na bangladesh, Mombasa udongo nikama wa Dar, ni pwani, unalazimisha sana yaani umeziokota google na haujui Kenya, ni kasehemu tu, sio nyie ni uharo mwanzo mwisho, sio tu Dar ni taifa lote, na kusihi weka hizi maeneo kupitia google earth tuone upana na urefu ukilinganisha na surroundings, Mombasa sio Dar a big slum, ata ukilia ama unyambe utoe povu mko hovyo zaidi on average 😂😂😂😂😂😂 weka in 2022 tuone.., GOOGLE EARTH 😂 😂 😂Save South Africa for another day, leo tupo Kenya please 😂😂😂
South Africa hawana mud huts though 🤣🤣🤣
Mombasa hii mkuu, mpaka lini? 🤔
Tanzania tuna informal settlements lakini hatujafika huku!
View attachment 2245672View attachment 2245673View attachment 2245674View attachment 2245675View attachment 2245676View attachment 2245677View attachment 2245678View attachment 2245679View attachment 2245680View attachment 2245681
These mud houses are like kunyaland major cities monuments, they're everywhere 🤣🤣🤣🤣
Ni muda muafaka sasa umefika muziweke kwenye bank notes 🤣🤣🤣🤣
Tony254 em niambie kwanini mpaka leo mna mud huts kwenye CBDs zenu zote?
View attachment 2245663View attachment 2245664View attachment 2245665