Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FUCBQg8X0AMT74B
 
Mwanza, maisha ni yale yale ya Dar.., these two cities must be operating under a curse or something..., sura ya ufukara tu 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Lami iko tu around town., makazi ya watu balaa., picha ya taifa fukara., alafu Kilaza flani anataka kulinganisha hii na Mombasa, level ya Dar., 😂 😂
1653987846573.png

1653987397154.png

1653987542448.png

1653987680615.png
 
Acha uongo😂

View attachment 2245404

Your BRT makes Ksh 6.25M per day. That means it does around Ksh 367,647 per hour when it operates from 0500h to 2200h.

Let's assume the total number of buses used in your BRT is 200, that means that each bus make around Ksh 1,838 per hour.

How many trips does one bus does in an hour?

How many passengers does one bus carry per trip?

What's the average fair price paid by each passenger?

How much gas does each bus use per trip?

If you does that you will find that your BRT is running at a loss.
By the way how is your BRT going?😁
 
BRT Phase II

How i wish hii underpass ingepanuliwa!! huyu mkandarasi sijui walimtoa wapi??
View attachment 2245464

Simon what's ur take!

Kama unavyosikia sikia..huyo jamaa kaishiwa hela.. alitaka apige parefu sasa yamemkuta yalimkuta kaambiwa arudie kazi.. mpk akaomba apewe na BRT 3 ili afidie alipopata hasara/faida kiduchu

Hapo kwenye underpass ni daraja la treni (sijui treni gan) lkn ipo barabara ya kuelekea mbagala.. so hawakuweza kuiongezea width yake sababu wamelikuta..hawajajenga wao

Afu huyu jamaa asiondoke bila kutuwekea pavement blocks pande zote za barabara kama ilivyo BRT 1

Afu mbona structure za stations zimekaa kama frames za kighorofa za biashara 😄
 
Who asked you about having job or not? I'm sure most people if not all in this forum has a job. So please, just shut your mouth and focus on what you have been asked.
Kuwa na nidhamu! Is this how you address your peers? Utapata laana!
 
Kwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Nikiskia mmoja akijigamba Eti brt ya Nairobi ita rival ya seul Korea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuendelee kuwa enjoy.
 
Kama unavyosikia sikia..huyo jamaa kaishiwa hela.. alitaka apige parefu sasa yamemkuta yalimkuta kaambiwa arudie kazi.. mpk akaomba apewe na BRT 3 ili afidie alipopata hasara/faida kiduchu

Hapo kwenye underpass ni daraja la treni (sijui treni gan) lkn ipo barabara ya kuelekea mbagala.. so hawakuweza kuiongezea width yake sababu wamelikuta..hawajajenga wao

Afu huyu jamaa asiondoke bila kutuwekea pavement blocks pande zote za barabara kama ilivyo BRT 1

Afu mbona structure za stations zimekaa kama frames za kighorofa za biashara 😄
Kampuni ilitoka Kunyaland, ikaja na ukora wa Nairobi kulipua kazi! kuna umuhimu kuepuka makampuni ya Kichina yanayotokea Kunyaland!
 
Kisumu residential zimepangika kwa wingi, yaani sehemu kubwa sana ukilinganisha na Mwanza.., google earth msema ukweli.., Mwanza ni town centre ndio inaonekana kupangika from aerial view.., Tanzania ijengwe upya., 😂 😂

Makazi ya watu Kisumu dala
1653988792272.png

1653988891482.png

1653988913813.png

1653988927436.png

1653988962918.png

1653989718106.png
 
Kama unavyosikia sikia..huyo jamaa kaishiwa hela.. alitaka apige parefu sasa yamemkuta yalimkuta kaambiwa arudie kazi.. mpk akaomba apewe na BRT 3 ili afidie alipopata hasara/faida kiduchu

Hapo kwenye underpass ni daraja la treni (sijui treni gan) lkn ipo barabara ya kuelekea mbagala.. so hawakuweza kuiongezea width yake sababu wamelikuta..hawajajenga wao

Afu huyu jamaa asiondoke bila kutuwekea pavement blocks pande zote za barabara kama ilivyo BRT 1

Afu mbona structure za stations zimekaa kama frames za kighorofa za biashara 😄
Reli ya tazara iyo
 
naona umekosa raha na usingizi kufananisha kijiji ambacho hata kwa mwanza hakitoboi kwa kua miongoni mwa modern cities 🤣🤣

niliwah kukwambia siku utanionesha modern and clean street kama hzo mombasa nzima unitag nifunge acc 😂😂😂 mpaka leo hii hakuna hata mdudu mmoja alijitokeza

hebu wewe jitoe muhanga naomba ujiripue kwa niaba ya wengine wote 😂😂👇👇

mombasani twasija kwa raha zetu

ESKtAFNXUAI_0Cp.jpeg
Screenshot_20220531-122114_Google.jpg
swaminarayan-temple-mombasa-1.jpg
IMG_2974-736x552.jpg
Screenshot_20220531-122340_Chrome.jpg
 
Mwanza ni mji umechoka aise, rusted roofs on a fresh water lake? sio maji ya chumvi! unplanned sttlement na vumbi almost kila eneo! slummy standards of living like 70%.., eti jiji la pili in Tanzania.,

Wacha nikuonyeshe from bird's eye view coming closer.., hii tabia yenu ya kupost vipicha vyenye mme cherry pick na kupaka make up ili kupotosha haitobadilisha ukweli mko na mwendo mrefu sana..,
View attachment 2245440
View attachment 2245443
Ona mpangilio hovyo, nyumba design za kishamba, standards za kifukara 😂 😂 😂
View attachment 2245445
View attachment 2245447
View attachment 2245448
View attachment 2245449
View attachment 2245450
Hizi ndio slums za Mwanza? 🤣🤣🤣🤣

Bangladesh ya Mombasa unaijua? 😆😆😆😆

images - 2022-05-31T123248.215.jpeg
images - 2022-05-31T123226.063.jpeg
images - 2022-05-31T123217.053.jpeg
images - 2022-05-31T123204.313.jpeg
images - 2022-05-31T123151.612.jpeg
images - 2022-05-31T123143.603.jpeg
images - 2022-05-31T123135.282.jpeg
 
Weka google earth tuitazame in comparison na jiji lote la Mombasa, mko hovyo., utatafuta vipande vya mapicha tu kujikomboa ama kujiliwaza., Kenya sio Tanzania ilio tapakaa ufukara kote kote, ile ya wazi sana., haifichiki., google earth link ya Mombasa hii hapa., nataka unionyeshe hiyo bangladesh iko sehemu gani, na ujionee mji.,kama utafanana na Mwanza ama Dar zilizo jaa standards za ufukara..,

haukwepi ukweli ata ukileta Kibera mara elfu.., Kenya kwa ukubwa na upana umejengeka kwa mpangilio., slums ni sehemu sehemu tu, lazima utafute sana, sio kama nyie mmejaza utopolo kila sehemu unaonekana mara moja in a first view 😂 😂 😂 😂 nimetafuta bangladesh kwa google earth sipaoni vizuri!!!.., nyie bana
 
Back
Top Bottom