Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Endelea kushuku 😁😁😁😁
 
siku kenya ikipata soko la kisasa na kubwa kama hili la mwanza lenya mpaka underground parking kama mall za ulaya munitag nifunge accπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

hii sio mall ila ni soko jamaniπŸ‘‡πŸ‘‡
Wana huu uozo wa gikomba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Tena hapa umeshakarabatiwa to international standards

 
Una kichaa wewe, hilo neno limeanza kama memes Tanzania

Leta uthibitisho lilitoka Kenya kisha mimi nitaleta kutoka Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…