Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya wanajua sana kujitangaza imagine hii match itakua ni moja ya wao kutangaza utalii na fursa za kibiashara na kuonyesha dunia kwamba they did it

hapa unazungumzia wafatiliaji wa hvo vilabu viwili vikubwa ni zaidi ya watu million 50 kutoka nchi mbili tofaut, hapo bado watazamaji wanaotoka africa wapenda mpira na duniani kwa ujumla

sometimes appreciate hata kama ni maadui zako, hawa jamaa ni very smart kwenye kutumia fursa, imagine sisi tulimleta drogba aje kukagua uwanja😆😆😆😆😆 we unahisi rio frednand n drogba wamekuja bure kwa pesa zao?





View attachment 3700548View attachment 3700549
Below average and average intellectuals wataona ni kujitangaza kiutalii lakini all above average intellectuals, Kenyans and none Kenyans alike, wanatambua huu ni ujinga wa hali ya juu sana.

Timu yao ya taifa hata mishahara nchi inastrago kulipa na juzi tu wachezaji waligomea mazoezi kudai malimbikizo yao ya miezi kadhaa.

The ability to reason is what helps us figure out what is right and wrong in any given situation.
Just remember, no one can see beyond their own horizons; unless, of course, they have are above average!



View: https://x.com/MickyJnr__/status/2115845200878657543
 
katika policy ya socialism labda ilibakia 20% but 80% ni capitalism tanzania na wala haliitaji ramli bro, kama wachache ndio wanaoneemeka hapa utaita socialism kweli? matajiri ndio wanaamua what to do hapa bado utaita socialism
Tanzania ina policies nyingi sana ambazo ni socialist na huo ni mfano nilikupa.
Kusema matajiri wanaamua hapa ni ujinga. There are a few politically connected thugs wana privilege ya kupata hiki na kile kinyume cha sheria ila when time comes, they shall all pay.
 
Kisumu
1000026587.jpg
1000026616.jpg
1000026475.jpg

1000026596.jpg
1000026595.jpg
1000026615.jpg
1000026618.jpg
1000026594.jpg
1000026614.jpg
1000026613.jpg
1000026612.jpg
1000026578.jpg
 
yani nimeshtuka kuona statistics umezitamka tu from no where 😆😆😆

hio india unayoitaja kumbuka ni industrial and technological country with a GDP of 4.06 trillion usd na purchasing power parity of 19.9 trillion usd, GDP per capita (ppp) of 13,000$
GDP yao na PPP ni lazima iwe kubwa given idadi yao ya raia.
Unapoona taifa raia wake wako ready kuzamia nchi kama Tanzania, hasa Nigeria, China, India, Ethiopia, Kenyans, ni vyema kutambua yote unayosema juu ya chumi zao ni maua na takwimu za makaratasi.

Hii ndio $4 trillion. Hizo nchi zinasafari ndefu sana.
1793284834971.jpeg

1793284907243.jpeg
 
ukweli gan, huyo dem si huyu apa alienda kariakoo derby to market it

View: https://www.instagram.com/p/DeU5UzYRYdZ/?hl=en


akatoka apo akaenda zenji

View: https://www.instagram.com/p/DeRmMMyIOXH/?hl=en


akatoka apo akaenda serengeti

View: https://www.instagram.com/p/DeMlJksCCCu/?hl=en&img_index=1


Sasa apo ni value for money, sasa tuonyeshe value for u20 playing in ngong kwenye vumbi na kuondoka 😂 😂 😂 😂

Any wildlife expert will tell you Maasai Mara is the best place to view animals in close quarters since it’s smaller hence more concentration as opposed to the vast Serengeti where you can drive for long before Spoting something …
I think it’s the same for Kilimanjaro and Amboseli 😜😜😜😜😜💯💯
 
Any wildlife expert will tell you Maasai Mara is the best place to view animals in close quarters since it’s smaller hence more concentration as opposed to the vast Serengeti where you can drive for long before Spoting something …
I think it’s the same for Kilimanjaro and Amboseli 😜😜😜😜😜💯💯
what else mmeambiwa uko?
1793287154160.png
 
kuna heaven on earth, and as well kuna hell on earth 😂😂, uku sio slums its just one of those places were wealthy kenyans live

1793287240888.png

1793287284339.png

1793287300644.png

1793287346699.png

1793287367064.png

1793287396114.png
 
Back
Top Bottom