NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
Over 99% of Kenya looks like that.Duh, Topestan.
Hiyo interchange ya Mombasa niMbona tusifurahie mkuu? mambo ya ma flyover tulisha yachoka zamani, tulizoea., sasa wacha Mombasa wapambane na Dar, hii sio deal kwetu kabisaa., jibambe na ujienjoy, utazoea tu hivyo viflyover vichache![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 2244494
View attachment 2244503
View attachment 2244508


Bashe ndo anafaa kama sio majaliwa hao wengine wazee wamapambio hatuwatakiHapa afuatie Bashe tu hakuna namna. Japo watasema ni msomali ila ni mtu makini sn.
Nafunga huu mjadala
Hawa wenzetu Duu, hapana aisee...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu Kenya ni chafu mno, maeneo mengi karibia over 99% ya Kenya nzima ni pachafu, sehemu iliyo safi Kenya ni ikulu pekee japo pia kuna slums pembeni ya ikulu. Ofcz Kenya na Nigeria ndio nchi chafu zaidi Afrika na pengine zimo kwenye top ten ya dirtiest countries in the world.
Kuna Wakenya vichwa mbaya. Jamaa anapiga 180 kph kwenye expressway. Kutoka Westlands hadi JKIA distance ya 27 kilometres jamaa anapiga na 7 minutes. 😱😱
Huyo mtu amenishangaza. Jamaa kapiga 180 kph. Anatafuta kifo huyo.Mwana kulitafuta mwana kuli find 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe hii Kenya yetu umeizunguka hata kunishinda. 🤣 🤣Nchi ya ajabu oyaa Tony254 nilikua kwenu🤣🤣🤣🤣View attachment 2244838
🤣🤣🤣kenya maralal,lodwar,lokichokogio,tana river,nyeri,muranga,maua,garissa kakakuma dadaab etc mfano did you know kuna sehemu ukielekea kakuma kama hamna dumu la maji hampiti mnatumia kama entrance fees!Wewe hii Kenya yetu umeizunguka hata kunishinda. 🤣 🤣