Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radar to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to be served by Zambia, remember you were paid for that, if that fit the definition of controlling, then Tanzania controls Kenya on food, because who feeds you controls you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Ilibaki story.

Leta evidence ya google location kama hapo ni Dar Es Salaam.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Haiti haiwezi kukua kubwa hivi.., nyumba zao sio za mtindo wa Kiswahili ba mzee., na pia hawavai leso wacha kujitia hamnazo, hii ni maisha yenu kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂
1653888312591.png

1653888466895.png

1653888496410.png
 
As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radar to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to be served by Zambia, remember you were paid for that, if that fit the definition of controlling, then Tanzania controls Kenya on food, because who feeds you controls you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kunyaland haiko covered 100% as we speak!
 
Watanzania punguzeni unafiki wa kitoto basi. Sisi ni majirani na tunajuana kwa undani hadi rangi ya chupi tulizovaa. Zanzibar pia kuna ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika katika baadhi ya mahoteli na mabar. Nimesoma articles na kuona videos kadhaa ambapo tourists Waafrika wanaeleza jinsi walibaguliwa huko Zanzibar. Kwa hivyo Watanzania punguzeni shobo tunajua hata huko TZ ubaguzi unafanyika. Msijaribu kupinga kwa maana evidence ni tele mitandaoni.

Cc joto la jiwe
 
Ndio mnashtuka leo wakati mji wenu wote mmeuchafua na hayo maslums?View attachment 2244054
Kama hii ni slum kusema ukweli Dar itakua nini? compare and contrast., 😂 😂 😂 😂 ama unatazama kwa simu, use big screen, mirror cast kwa tv kama uko na smart TV or use a PC ujionee.., kwa simu picha hazionekani vizuri kama computer or TV screen..,
1653888982104.png

Dar is slum
1653889048813.png
 
As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radar to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to
Na hiyo ilikuwa zamani, kwa zile rada za kiraia (siyo za jeshi), sasa hivi tuko vizuri zaidi yao.
 
Sasa unabisha nini?,;Kenya ndiyo nchi ya kwanza Afrika kujitambua serikali ya Did Amin baada ya kumpindua Obote, Kenya ndiyo nchi ya Kwanza kumkaribisha Did Amin na kumpa heshima zote Kama rais wa nchi.

Kenya ilikataa kuwakaribisha wapinzani wote wa Did Amin ambao walikimbia Uganda wakiwa na lengo la kumpindua serikali ya Amin, Kenya mliwatelekeza na kuwaambia watafute nchi ingine kwa kuogopa Did Amin angeishambulia Kenya, Sasa Kama mlikataa kuwasaidia waganda waliokua wanauliwa na Idd Amin, vipi mnajisifia kuwasaidia Israel kuwakomboa mateka wao?, Kwahiyo Kenya mpo tayari kuwasaidia watu weupe lakini suo5 waafrika wenzenu Kama mlivyofanya enzi za ukombozi wa Afrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Zuzu akimpokea Idd Amin
 
Nimesoma comments za hii tweets.. wengi wanalalamika kuhusu viwanja.. it says alot about gvment priority in sports (while we have a lot of potentials)..
vitu kama hv ni fursa kubwa sana ila ndo hivyo
Ni maamuzi tu ya Ku host tu ki commit we need like 500billion tsh to invest in 5 years and in 2027 we are ready to host ..

500 billion tsh can build
1 good stadium of 50k
2 good stadiums of 30k
And training facilities in those regions..

Inabaki tu kurekebisha few stadiums and we are ready
 
Sasa unabisha nini?,;Kenya ndiyo nchi ya kwanza Afrika kujitambua serikali ya Did Amin baada ya kumpindua Obote, Kenya ndiyo nchi ya Kwanza kumkaribisha Did Amin na kumpa heshima zote Kama rais wa nchi.

Kenya ilikataa kuwakaribisha wapinzani wote wa Did Amin ambao walikimbia Uganda wakiwa na lengo la kumpindua serikali ya Amin, Kenya mliwatelekeza na kuwaambia watafute nchi ingine kwa kuogopa Did Amin angeishambulia Kenya, Sasa Kama mlikataa kuwasaidia waganda waliokua wanauliwa na Idd Amin, vipi mnajisifia kuwasaidia Israel kuwakomboa mateka wao?, Kwahiyo Kenya mpo tayari kuwasaidia watu weupe lakini suo5 waafrika wenzenu Kama mlivyofanya enzi za ukombozi wa Afrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe chuki yako ya Kenya ilianzia wapi? Mbona unaichukia Kenya sana?
 
As I said to you, this is Normal in aviation sector, if the country is big like Tanzania, and don't have enough number of radars to cover the whole area, some neighboring countries' radars can be hired to give that service, even the southern part of Tanzania used to be served by Zambia, remember you were paid for that, if that fits the definition of controlling, then Tanzania controls Kenya on food, because who feeds you controls you

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania punguzeni unafiki wa kitoto basi. Sisi ni majirani na tunajuana kwa undani hadi rangi ya chupi tulizovaa. Zanzibar pia kuna ubaguzi wa rangi dhidi ya Waafrika katika baadhi ya mahoteli na mabar. Nimesoma articles na kuona videos kadhaa ambapo tourists Waafrika wanaeleza jinsi walibaguliwa huko Zanzibar. Kwa hivyo Watanzania punguzeni shobo tunajua hata huko TZ ubaguzi unafanyika. Msijaribu kupinga kwa maana evidence ni tele mitandaoni.

Cc joto la jiwe
Zanzibar na Kenya mnafanana kwa tabia na maadili, 50% ya Zanzibar ni Tanzania na 50% inajitegemea

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama hii ni slum kusema ukweli Dar itakua nini? compare and contrast., ama unatazama kwa simu, use big screen, mirror cast kwa tv kama uko na smart TV or use a PC ujionee.., kwa simu picha hazionekani vizuri kama computer or TV screen..,
View attachment 2244102
Dar is slum
View attachment 2244103
Hapa pakiwa ni Tz nafunga ACC JF, hakuna majengo kama haya Tz, rudisha kwa wenyewe
tapatalk_634551722_512x341.jpg
 
Back
Top Bottom