Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

'hidden hunger' mnaficha adi njaa ili msigunduliwe mko vibaya,ukatili kweli si mseme msaidiwe,malnultrition,drought,famine
Huo ujinga njoo uwambie wakunya wenzio walio lundokan uku kufwata chakula ili ww na pombi wenzio huko kunya msife njaa n mwendele kututukan baba zenu, tunajua ukubwa jalala
 
Akipita huyu mzee naamini lazima akupe shavu mana unampigania sn, all in all he deserves to be our upcoming PURT, baada ya Majaliwa aje Bashe cjali asili yake, tupa kule cz ana uwezo na anamkaribia JPM kdg, nasema kdg mana kwa hapa Africa hakujawahi kutokea Rais mwenye uwezo mkubwa kushinda JPM.
Hiyo ndio fact.
 
Huo ujinga njoo uwambie wakunya wenzio walio lundokan uku kufwata chakula ili ww na pombi wenzio huko kunya msife njaa n mwendele kututukan baba zenu, tunajua ukubwa jalala
Uko na uhayawani wa kutoeleweka nenda kaambie mamalaya wenzio klabu namanga...wanatuletea utopolo mtupu
 
..
Mnaoneshwa ukweli mnakataa sijui hamuelewi au ...
Angalia tarehe humo ni ya juzi na ni huu mwaka..
Screenshot_20220530-091209.jpg
Screenshot_20220530-091242.jpg
Sewage_in_the_street_in_Tandale%2C_Dar_es_Salaam_(3233303875).jpg
 
Kuna hii habari hapa...Tanzania na Lesotho tunafanya vizuri kwenye road connectivity kwa 15% na Lesotho 24%...
Hilo jambo la kuunganisha mikoa na wilaya ambalo hua tunalizungumzia humu na jamaa zetu wanaona kama tunacheza ila sasa manufaa yake yameanza kuzaa matunda

Sikuacha na report ya kenya...labda mtuambie izo 10k kms ambazo Uhuru aliplan kujenga mmefikia wapi na kwann msiongoze kwa connectivity kama Tanzania na Lesotho???
Screenshot_20220530-121521_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220530-121607_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220530-121633_Samsung%20Internet.jpg
 
Kasi ya awamu ya 6 kutekeleza miradi ..

Baada ya salander na wami bridges sasa ni Chang'ombe flyover kuanza kutumika 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220530-142448.png
    Screenshot_20220530-142448.png
    116.7 KB · Views: 20
TARURA wanaendelea na Kazi ya kufungua Nchi Dodoma 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220530-120701.png
    Screenshot_20220530-120701.png
    156.2 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220530-120751.png
    Screenshot_20220530-120751.png
    144.7 KB · Views: 22
Hapa pakiwa ni Tz nafunga ACC JF, hakuna majengo kama haya Tz, rudisha kwa wenyeweView attachment 2244127
It is even more worse, ingekua vyema kama ungepita kimya kimya, sio kunijibu kiviazi mie ninae ijua Tanzania nje ndani😂😂😂, mbona unakana Tanzania?, maisha yenu duni ya kishamba kote kote ni kama kikohozi, haifichiki , sasa kapingane na google earth😂 😂 😂 😂 😂 😂
1653910572837.png

1653910591030.png

1653910611097.png

1653910934546.png

1653911005857.png
 
Na hili mnasemaje wadau...Kigoma na maeneo mengineo si kuzuri .
Hunger crisis in new york of africa
Mnasema mnaweza kujitosheleza na chakula cha ndani ila nashanga hawa chakula haiwafikiiView attachment 2244162View attachment 2244163View attachment 2244164View attachment 2244165View attachment 2244167
Tanzania ni taifa fukara fundamentally, chakula kwa wengi ni zile za kimaskini, utapia mlo ni kawaida sana vijijini, yaani chakula ni mihogo na maharagwe, what do u expect? getting a balanced diet is like trying to solve a complex puzzle😂😂😂😂., poverty is evil man!
Sasa utaelewa kwa nini watanzania wengi humu wako na uwezo kidogo wa kufikiria, e.g The best 007 anafikiriaga Tz'seconomy is $150B, na ameamini kabisaa😂😂😂 😂😂😂; hizi tatizo it's coz of stunted growth and poor brain development during childhood, it is irreversible., let's not blame many 'idiots' here, sio makosa yao ama sio kwa kupenda kwao, ni matokeo ya utapia mlo wakiwa watoto wadogo.,
1653911806612.png

1653911895831.png
 
Hivi wakati wanajenga hapo hawaoni wanazingua? Akili zingine hizi
Dodoma will save face., am liking the organization ya pale, hope wa maintain the trend, tatizo ni watu kukimbilia kule kutafuta fursa za maisha na hawana uwezo!..,
 
Back
Top Bottom