Huyu Black American nimemfuatilia sana wakati nipo nyumbani na hii weekend iliyopita niliwatch video zake kadhaa youtube. Kapigwa kalamu katika kazi nzuri aliyokuwa nayo hapa Nairobi kwa sababu ya kutoa maneno machafu mbele ya wanafunzi. Alikuwa anafundisha katika International school of Kenya na alikuwa analipwa $60,000 per year ambayo ni pesa nyingi sana. Shule hii ni ya matajiri sana, sio shule ya kawaida. Sasa Black Americans wana tabia mbaya ya kutumia maneno machafu kama f*ck, sh*t, motherf*cker na kadhalika.
Alidhani ataleta ughetto wa USA hapa Kenya. Sasa mzungu aliyempiga kalamu alipomuambia kwamba atamlipia gharama zote za usafirishaji ili arudi USA, akakataa akasema anataka kubaki Kenya. Sasa amepeleka shule hio mahakamani kwa sababu anataka kulipwa fidia ya kufutwa kazi. Hii hadithi yote yeye ndio kaeleza kwenye video yake. Ameishi Kenya zaidi ya miezi sita sasa. Amekwama Nairobi na hata juzi alikuwa Tanzania akawatukana sana Watanzania kwamba nyie ni lazy. Mimi mwenyewe nilipost hio video hapa akisema wanaume wa TZ ni wazembe sana kushinda Wanaume wa Kenya.