Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyeshe hiyo Sego slum kwa Google maps niame hili jukwaa.
Screenshot_20220526-213713.jpg
 


Kwenye daladala wameongeza sh 100 huku hawa wajuba wanataka kuongeza 500 nzima 😅😅 tutafika tumechokaa sanaa

Kiukweli hii serikal ya sasa ya kindezi sana.. wanachojali ni wao kupata hela..hawajali katika kupata hio hela mwananchi anaumiaje.. na no.1 yuko kimya kama autopilot..kazi yake kuzururazurura tu..huyu ni wa kummwaga chini
 
Kwani huoni venye wakenya wanashambulia Nigeria and Ghana huko? For that Tanzanian guy I can't say much about him cause he always post ocean and mountains. There was a time Kenyans became unbearable in Nairaland hadi Nigerians, South Africans and Ghanaians teamed up to roast Kenya.
"Kwani huoni vile ambavyo wakenya wanavyowashambulia .......", hakuna neno " venye" katika lugha ya Kiswahili
Tony254
dyfre

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
at first u might think this is an estate in nairobi and just because roads are named after kenyan towns...... but u ll be suprized if u told u this is an estate in santon, johannesburg, south africa

View attachment 2239828
How did this come to be? Is it that many Kenyans live there and they renamed the streets or what? This is strange but interesting.
 
Kiukweli hii serikal ya sasa ya kindezi sana.. wanachojali ni wao kupata hela..hawajali katika kupata hio hela mwananchi anaumiaje.. na no.1 yuko kimya kama autopilot..kazi yake kuzururazurura tu..huyu ni wa kummwaga chini
Kuna watu nashangaa sana wanaposema wamelizika na huyu mama, kuna mda najiuliza au mm ndio nazingua mana kiukweli kabisa huyu mama ame proove failure in almost everything.
 
Back
Top Bottom