Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ni kwamba hako kahela kalikoongezeka hakana impact yoyote mana vitu vimepanda bei maradufu. It's better wasingeongeza ila wangejitahidi kudhibiti mfumuko wa bei.
Kwa wenye magari.. mfano yangu full tank ni litres 93.. nilikuwa najaza mara mbili full tanks kwa almost 460k ( 230k×2)
Saiz najaza full tank mara mbili kwa almost 630k

Sasa difference hapo ni almost 170k.. ambao ni kulekule kwenye ongezeko, so ongezeko lote limeenda kwenye mafuta (kwa wafanyabiashara na serikal)
Sasa hapo bado gharama zingine vya vyakula, ujenzi, etc. 2025 mtalii akapumzike
 
Nitashangaa sana nikisikia anataka kuchukua form.
 
Tz utumbo au patikani kwenye mabucha labda sehemu chache sana buchani uwezi kukuta utumbo ,pia hapo labda ni nje ya machinjio ndiyo kuna mambo kama hayo
Wewe unaishi wap?
Unakamba sana we jamaa...
Moshi ukienda buchani unakatiwa nyama unayotaka plus utumbo...Huku dar ndio nashangaa utumbo unauzwa juu kwa juu
 
hivi nimecheka yangu yote!!! 😆😆😆😆

wantanzania mtatumaliza aky.! 🤣🤣🤣

Screenshot_20220523-195343_Facebook.jpg
 
Kwa wenye magari.. mfano yangu full tank ni litres 93.. nilikuwa najaza mara mbili full tanks kwa almost 460k ( 230k×2)
Saiz najaza full tank mara mbili kwa almost 630k

Sasa difference hapo ni almost 170k.. ambao ni kulekule kwenye ongezeko, so ongezeko lote limeenda kwenye mafuta (kwa wafanyabiashara na serikal)
Sasa hapo bado gharama zingine vya vyakula, ujenzi, etc. 2025 mtalii akapumzike
Mzee unaendesha machine Nzito hutakiwi kulalamika bei ya mafuta
 
Vipapatio vya kuku ni ghali kama almasi

Wakati Tanzania mgeni akija ukampa kipapatio ni dharau kubwa sana

Hivi wakuu hizi taarifa ni za kweli au na nyie mmewaiga na kuanza kutengeneza fake articles, vipapatio vya kuku kweli??,watu wana maisha aisee!!!
 
Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwakuna kaongezeko kameonekana, japo kwangu kaongezeko ni kidogo lkn kheri..
kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike
Ongezeko hadi July man au ww ushaona changes
 
Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwakuna kaongezeko kameonekana, japo kwangu kaongezeko ni kidogo lkn kheri..
kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike
Hongereni sana siye tuko mashambani huku tunangoja ruzuku za pembejeo tuone mwaka ujao tunaupigaje.
 
Back
Top Bottom