Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

After they closed it nikatoka nairaland.. mimi huwa na participate kwa forum not more than one hata huju JF huwa vigumu sana ku participate kwa thread nyingine hata kwa kenya section.. I'll check out that one kama ipo interesting
Yeah, hile ingine ilikuwa closed.

Screenshot_20220526-190142_1.jpg
 
Ungejua jinsi Wakenya wana kiherehere hungesema kwamba tumeshindwa kutamba huko skyscrapercity. Jifunze tu kwamba Wakenya na kiherehere yetu hatuwezi kushindwa kutamba mitandaoni. Algeria ndio nchi yenye michango mingi zaidi skyscrapercity na michango 456k. South Africa ndio ya pili na michango (263k). Kenya ni ya tatu kwa michango skyscrapercity (203k). Tanzania ina michango 50k pekee katika skyscrapercity. Wakenya wametoa michango mara nne ya Watanzania huko. Nigeria na watu wao 200 million bado Kenya imewapiga kwenye michango. Mnigeria kabla acharge simu na generator, unategemea apate wapi muda wa kuchangia?



View attachment 2239539View attachment 2239540
Ngoja na mimi nikachungulie huko
 
If university No# 8. in kenya comes tanganyika, it would be ranked at no.1.. even ahead of uni of darslam


View attachment 2239746














Wanaume wakiongea unyamaze!!
 
Kawaambie hivyo unesco sio mimi 😂😂😂😂

Uthiru baby 😂😂😂

View attachment 2235786
Wewe c bingwa wa ku edit Google, nenda uka edit hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235791

Uthiru, slum ambayo watu wanamiliki hadi magari na kuna pia recreational parks. 😂 Slum yenye apartments with parking lots and a four-lane highway passing through it! We must be a very blessed country!
Screenshot_20220523-170145~2.png
Screenshot_20220523-170118~2.png
Screenshot_20220523-170038~2.png
Screenshot_20220523-170914~2.png
Screenshot_20220526-193931~2.png
Screenshot_20220526-194328~2.png
Screenshot_20220526-194427~2.png
Screenshot_20220526-194557~2.png
 
Kawaambie hivyo unesco sio mimi 😂😂😂😂

Uthiru baby 😂😂😂

View attachment 2235786
Wewe c bingwa wa ku edit Google, nenda uka edit hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235791

Uthiru, slum ambayo watu wanamiliki hadi magari na kuna pia recreational parks. 😂 Slum yenye apartments with parking lots and a four-lane highway passing through it! We must be a very blessed country! View attachment 2239787View attachment 2239789View attachment 2239790View attachment 2239791View attachment 2239792View attachment 2239795View attachment 2239799View attachment 2239800
 
Back
Top Bottom