babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Nbo jiji la slumsSasa picha kama hizi mbili za Ruai zikishawekwa hapa ni mazingira gani tena unataka kuona kando na hii? Ama mazingira ni nini?
View attachment 2235626View attachment 2235628
Ama unadhani kwamba Nairobi pia ni jiji la uswazi?
Sasa slaughter ya chicken ya nn wkt hamuwali hao chicken [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Statistics uchwara hizo, mbona hamna slaughterhouse ya kuku? Mbona consumption per capita ya Kenya iko juu. Nyie munakula zile kuku mwitu za kuuzwa 20bob alafu munasema munakula kuku. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 2235825
View attachment 2235827
Chicken slaughterhouse in Tanzania
![]()
Chicken slaughterhouse in Kenya
![]()
Hilo ni gazeti lao kwahiyo huu ni utafiti wa ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole, nenda ukalalamike Google au muite Nicxie mka edit [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2235829
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me mwenyewe nmeshangaa mwezi huu mbona kahela kameongezeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwa[emoji383]..japo kwangu kaongezeko ni kidogo lkn kheri.. kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike [emoji28]
Watakuwa wanakula wazungu wa multinational companies [emoji16]Sasa slaughter ya chicken ya nn wkt hamuwali hao chicken [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwa[emoji383]..kuna kaongezeko kameonekana.. kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike [emoji28]
Shukrani ya punda!Mambo safi kwenye misharaha, kibubu kimejazwa💰kuna kaongezeko kameonekana, japo kwangu kaongezeko ni kidogo lkn kheri..
kaupiga mwingi, lkn 2025 apumzike 😅
Yule aliyewatapeli SGRTapeli wa Kimataifa na Mshirika wa Russia China anazidi kufilisika [emoji38][emoji38]
View attachment 2235169
Shida ni kwamba hako kahela kalikoongezeka hakana impact yoyote mana vitu vimepanda bei maradufu. It's better wasingeongeza ila wangejitahidi kudhibiti mfumuko wa bei.Shukrani ya punda!
Vingunguti hiyo kakaPicha ya Nigeria hii!
Tanzania huwezi uza nyama kwa mipigo hii.
Vingunguti hiyo ila ni kitambo sanaPicha ya Nigeria hii!
Tanzania huwezi uza nyama kwa mipigo hii.
Kama ni kweli hii habari inasikitisha sana, kwahiyo alikodi hotel nzima mwenyewe?Jana mtu nilisikia, huyo bibi alikua akilipa 60 million kwa siku kwenye hotel aliyofikia huku Marekani, hiyo ni yeye tu.
Hicho kizee ni kichawiJana mtu nilisikia, huyo bibi alikua akilipa 60 million kwa siku kwenye hotel aliyofikia huku Marekani, hiyo ni yeye tu.
Kama kuna nyumba mbili tatu mbovu ndiyo maana imekuwa habati ya kushangaza tz ..wakati hapo kenya ni kawaidaLiving in denial always [emoji23]